Serikali yamkaanga Sheikh Ponda!
- DPP asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar
- Ahusishwa na mauaji ya sheikh mmoja kule Mombasa, Kenya
- Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho (Ijumaa) kwenda kwa DPP (February 14 2013)
- DPP asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar
- Ahusishwa na mauaji ya sheikh mmoja kule Mombasa, Kenya
- Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho (Ijumaa) kwenda kwa DPP (February 14 2013)
MAMBO YA KIJIJINI
WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, Rais Jakaya Kikwete aliahidi kusambaza pikipiki za matairi matatu (bajaj) zipatazo 400,000 katika hospitali, zahanati na vituo vya afya nchini kwa nia ya kusaidia wagonjwa hususani wanawake wajawazito kuwahishwa hospitali wakati wa kujifungua.
Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, Bajaji hizo hazitumiki kubeba wajawazito kama ilivyokusudiwa kutokana na ubovu wa barabara
Endelea kusoma kuhusu hizi Bajaj za Kikwete na changamoto ya Usafiri kwa Wajawazito vijijini
Baba Mtakatifu, Papa Benedict XVI atangaza kuachia madaraka ya kuongoza Kanisa Katoliki duniani Februari 28 Mwaka huu kwa sababu za kiafya.
February 11 2013
Mheshimiwa Tundu Lissu na Mama Anne Makinda wakila good time baada ya kazi ngumu bungeni.Yabungeni yanaishia huko huko.Nje ya mjengo wote sawa!
February 10 2013
Mambo ya CCM na CHADEMA wakigomea bendera.Inasemekana CCM waliondoa ya CHADEMA ili wasimike yao ndipo mambo yakawa hivi.....Na hii ndiyo Picha ya kufungia wiki hii...
February 10 2013
MAMBO YA RAIS WA TANZANIA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETA NA JACOB ZUMA.Tufurahie na Rais wetu, tuna mengi ya kujivunia
Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
- Kwa wastani tikiti maji huchukua hadi SIKU 90 (maximum) kuanzia kupanda hadi kuvuna, kwa mwaka unaweza kulima mara 4, Mbegu ya 'Sugar Baby' hukomaa mapema
- Spacing kati ya mmea na mmea ni 2m x 2m na kila ekari inakuwa na mashimo (mimea) 1,000 kila mmea ukitoa walau matunda 5
- Kwa wastani tikiti maji huchukua hadi SIKU 90 (maximum) kuanzia kupanda hadi kuvuna, kwa mwaka unaweza kulima mara 4, Mbegu ya 'Sugar Baby' hukomaa mapema
- Spacing kati ya mmea na mmea ni 2m x 2m na kila ekari inakuwa na mashimo (mimea) 1,000 kila mmea ukitoa walau matunda 5
February 9 2013
Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'!
- Ni Wabunge Tundu Lissu (Singida Mashariki, CHADEMA), Joshua Nassari (Arumeru Mashariki, CHADEMA), Pauline Gekul (Viti Maalumu, CHADEMA) na John Mnyika (Ubungo, CHADEMA)
- Hatua kuchukuliwa dhidi yao...Nikawaida yao wakishaambiwa ukwel wanadai ni fujo ndan ya bunge,niserikan ya aina gan hii icyo taka kuambiwa ukweli, karne hii ya 20 kwel kaz ipo..
Kwanini hiki kinaitwa "Kibao cha MBUZI?" February 8 2013
February 7 2013
Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini alifariki dunia.
R.I.P THOMAS LAIZER.
February 6 2013 AT NATIONAL STADIUM
FIFA International Friendly Match - Tanzania beats Cameroon!
Full Time Results: Tanzania 1 - 0 Cameroon (Goli limefungwa na Mbwana Samatta)
Wape maneno Lissu na Ndugai...Msigwa na Nassari watakuwa wanasemaje? February 5 2013
January 23 2013 Madawa ya Kulevya Tanzania: Serikali imeshindwa, tufanyeje?
- Vijana wengi wa kitanzania wanazidi kuumia tokana na biashara hii haramu inayowanufaisha wachache huku 'wakiwaua' ndugu zetu
- Baadhi ya wasanii wanadaiwa kuwa watumiaji na kwa namna moja ama nyingine wameathirika kiufanisi katika usanii wao
January 19 2013 Tanzania: Tume ya Uchaguzi (NEC) yakiri haiko uhuru!
* Yataka iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
* Yasisitiza isiingiliwe na mamlaka yoyote nchini
* Lubuva: Wajumbe wa tume waapishwe na Jaji Mkuu
* Yataka iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
* Yasisitiza isiingiliwe na mamlaka yoyote nchini
* Lubuva: Wajumbe wa tume waapishwe na Jaji Mkuu
Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyeshelehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani. February 2013
January 28 2013
UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall
- Wataka gesi isiondoke Mtwara mpaka serikali iiweke wazi mikataba yote kwa wananchi, Serikali ikae na wananchi ili wapate maridhiano
- Wadai Kinana ni mmojawapo wa Wakurugenzi wa ARTUMAS, hivyo Kinana na CCM wananufaika na mikataba hii
- Wasema 'Wawekezaji wanakaribishwa lakini wawe makini na mikataba ya kifisadi'
January 28 2013
Breaking News: Lulu (Elizabeth Michael) aachiwa kwa dhamana!
- Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani na wafadhili kuweka bondi ya Shilingi mil 20
HIVI HII NI KWELI AU WANAMSINGIZIA MHESHIMIWA?
January 28 2013
Mbunge wa Bukoba Vijijini [Jason Rweikiza (CCM)]: Wanaohoji ahadi zangu ni wagonjwa wa akili!
- Alitoa ahadi ya kuwasomesha watoto watano kila kata ambao wanatakiwa kujiunga na kidato cha kwanza pamoja na watoto watano kila kata ambao wana umri wa kuanza shule ya awali, ambao alisema kuwa atawasomesha bure hadi darasa la saba
- Asema hakuwa na mkataba nao!
January 25 2013
Gari linalosadikiwa kuwa lilikuwa limeandaliwa kwenda kumchukua Bibi Somoye Issa (90) ambaye ni Mkuu wa Kaya aliyetoa kauli kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, itageuka kuwa maji, kuchomwa moto usiku wa jana huko kijijini Msimbati, Mtwara. Kijiji cha Msimbati ndicho ambacho miradi ya kuvuna gesi asilia imesimikwa