Wadau wa Mkutano wa Elimu wa Umma wa Shirika la Utangazaji Tanzania wakiwa kwenye viunga vya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu jijini Arusha uliofanyika tarehe 12-17 Juni 2017. Kutoka kulia ni Afisa Habari wa Muhimbili Patrick
J. Mvungi, Elinipa Lupembe PRO Halmashauri ya Manispaa Arusha, Nyamagory Omary Kitwara PRO ofisiya Waziri Mkuu, Florah Mbilinyi PRO Halmashauri ya Meru, Emmanuel Minja Afisa Masoko Mwandamizi TBC na Ndugu Rodrick Ngolly wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Viijijini - IRD Dodoma
Wadau wa Mkutano wa Elimu wa Umma wa Shirika la Utangazaji Tanzania
wakiwa kwenye viunga vya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu jijini
Arusha uliofanyika tarehe 12-17 Juni 2017. Kutoka kulia ni Afisa Habari
wa Muhimbili Patrick
J. Mvungi, Elinipa Lupembe PRO Halmashauri ya Manispaa Arusha,
Nyamagory Omary Kitwara PRO ofisiya Waziri Mkuu, Florah Mbilinyi PRO
Halmashauri ya Meru, Emmanuel Minja Afisa Masoko Mwandamizi TBC na Ndugu
Rodrick Ngolly wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Viijijini - IRD Dodoma