Biashara ya ufugaji wa mbuzi ni fursa
Inahusisha shughuli ya kutunza na kuzalisha mbuzi kwa lengo la kupata faida kupitia mauzo ya nyama, maziwa, ngozi na mbolea. Ni biashara ni biashara unayoweza kuanza kwa gharama ndogo za uanzishaji, huzalisha haraka, inastahimili mazingira magumu na ina soko la kudumu ndani na nje ya nchi.
Ukizingatia lishe bora, afya, makazi mazuri na usimamizi wa kitaalamu, ufugaji wa mbuzi ni chanzo kizuri cha kipato na ajira endelevu.


