Tuesday, July 31, 2012


Biashara ya ufugaji wa mbuzi ni fursa

Inahusisha shughuli ya kutunza na kuzalisha mbuzi kwa lengo la kupata faida kupitia mauzo ya nyama, maziwa, ngozi na mbolea. Ni biashara ni biashara unayoweza kuanza kwa  gharama ndogo za uanzishaji, huzalisha haraka, inastahimili mazingira magumu na ina soko la kudumu ndani na nje ya nchi.

Ukizingatia lishe bora, afya, makazi mazuri na usimamizi wa kitaalamu, ufugaji wa mbuzi ni chanzo kizuri cha kipato na ajira endelevu.

No comments:

Post a Comment