Saturday, July 6, 2013

HIFADHI YA TAIFA SERENGETI ILIVYOSHEHENI WANYAMA WENGI, INAONGOZA KWA KUWA NA NYUMBU WENGI

HIFADHI  YA TAIFA SERENGETI ILIVYOSHEHENI WANYAMA WENGI, INAONGOZA KWA KUWA NA NYUMBU WENGI

 Na Mwandishi wetu;

Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la savana na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na Kenya. Eneo lake ni 14,763 km² na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa Hifadhi ya Masai Mara.
Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya nyumbu wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani tembo, simba, chui, fisi, kifaru na nyati.
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. Bonde la Olduvai ambako mabaki ya wanadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
Mazingira ya Serengeti ni kanda ya kijiografia iko katika kaskazini-magharibi ya Tanzania na inaenea kwa kusini-magharibi mwa Kenya kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Ina enea kiwango cha mraba kilometa 30,000 2.
Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye ardhi kubwa na ndefu zaidi duniani,[1] ambao hua ni tukio wa nusu mwaka . Uhamiaji huu ni moja ya maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri.
Kanda hii ina hifadhi za taifa na hifadhi mchezo kadhaa. Serengeti imechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai, Maa; hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". [2] [3]
Inakadiriwa mamalia 70 kubwa na baadhi ya spishi 500 avifauna (yaani ndege) hupatikana huko. Tofauti huu wa juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, mabwawa, kopjes, mbuga na misitu. [4] Nyumbu bluu, swara, punda milia na nyati ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hili.
Karibu Oktoba, karibu herbivores (yaani wanyama wanaokula majani badala ya nyama) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka mto wa Mara katika harakati za mvua. Katika mwezi wa Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili kwa mara huitwa "Circular migration" yaani uhamiaji mviringo. Nyumbu zaidi ya 250,000 peke watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika mbuga ya wanyama ya Masai Mara huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya maili 500. Kifo mara nyingi unasababishwa na maudhi au uchovu. [1] Uhamiaji huu umeonyeshwa katika filamu na programu nyingi za televisheni kote duniani.
 Upande mkubwa wa Serengeti hapo awali ulijulikana kama Maasailand kwa wageni. Wamasai walijulikana kama shujaa wakali , na waliishi pamoja na wanyama wa pori huku wakiishi kwa kuwala mifugo yao pekee. Nguvu zao na sifa zilisababisha wasafiri kutoka Ulaya kutotumia wanyama na rasilimali ya nchi yao vibaya. Janga la "rinderpest" na ukame wakati wa 1890 ulisababisha upungufu wa idadi ya Wamaasai na wanyama. Uwindaji haramu ya wanyama wa pori na ukosefu wa moto, ambayo yalikuwa matokeo ya shughuli za binadamu, yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo. Uongezekaji wa chafuo sasa ulisababisha kutokuwa kwa makaazi ya binadamu katika eneo hili. Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. [5] Mnapo miaka ya 1960, idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudia na Wamaasai ili kuongeza eneo ya malisho ya mifugo, au kwa ajali, ulisababisha kuchomeka kwa miche mpya ya miti. Mvua nzito ulichangia ukuaji wa majani, ambao ulikuwa kama mafuta kwa moto wakati wa misimu kavu zifuatazo. Miti mzee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, yalianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti changa na mzee, amekuwa walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio ilionyesha kuwa kulikuwa na sababu nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka 1970 hadi 467 katika mwaka wa 1986 kwa uwindaji haramu. [6] Mnapo miaka ya 1970 idadi ya nyumbu na nyati ya Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa kasi, basi kusababisha upuingufu wa mafuta ya kusambazaa moto. [7] kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena
Bara la Maasai ina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. [8] Serikali ya Tanzania na Kenya hutunza idadi kadha ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, nk, ambayo hutoa ulinzi wa kisheria kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. [9]
Ol Doinyo Lengai, ikiwapo mlima wa moto ulio bado na uhai katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapo fichuliwa kutoka kwa hewa, hubadilisha rangi kutoka samawati hadi nyeusi na kufwanana na "washing soda". Tabaka nzito ya jivu unaweza geuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama saruji baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya safu hii, na kimsingi tambarare bila miti ya Serengeti, ambayo yako magharibi na upepo chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo.
Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika kivuli mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenya majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogo ndogo. Udongo yana rutuba kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya urefu wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika jamii na herbaceous na nyasi refu. Baadhi ya 70 km magharibi, misitu ya Acacia huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea ziwa Victoria na kaskazini kelekea katika tambarare za Loita,[onesha uthibitisho] kaskazini mwa mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara. Aina 16 tofauti ya Acacia yapo katika msitu huu, usambazaji wao ukiamuliwa na hali "edaphic" na urefu wa udongo. Karibu na Ziwa Victoria kuna tambarare yenye mafuriko yaliyitokana na "lakebeds" za kale. Katika kaskazini magharibi, misitu ya Acacia yamebadilishwa na misitu ya "Terminalia-Combretum" yenye majani mapana, uliodhamiria kutokana na mabadiliko katika geologi. Eneo hili lina kiwango cha juu zaidi ya mvua katika mfumo na huunda kimbilio kwa kwa wanyama wanaohama mwisho wa msimu wa kiangazi. [11]
Muinuko katika Serengeti huanzia mita 920 hadi 1850 na joto wastani kuanzia digrii 15 hadi digrii 25 "Celsius". Ingawa kwa kawaida hali ya hewa huwa joto na kavu, mvua hutokea katika misimu miwili ya mvua: Machi-Mei, na msimu mfupi katika Oktoba na Novemba. Kiasi cha mvua inatofautiana kutoka kiwango cha chini cha 508 mm katika upande wa "lee" ya miinuko ya Ngorongoro na kiwango cha juu cha 1,200 mm katika pwani ya Ziwa Victoria. [12] Nyanda za juu, ambazo ni baridi kuliko tambarare na kufunikwa na misitu ya "montane", ndio alama ya mpaka wa mashariki ya bonde ambayo Serengeti uko.
Tambarare la Serengeti wazi ina miinuko ya "granite" inayojulikana kama "koppes". Miinuko haya ni matokeo ya shughuli kutokana na volkeno. "Koppies" hutoa makazi madogo kwa nyanda zisizo wanyamapori. "Koppe" moja unao uwezekano kuonekana kwa wageni huko Serengeti ni Simba Koppe (Lion Koppe). Serengeti ilitumika kama jukwaa utengeneza filamu ya "Disney" ya The Lion King na baadae uvumbuaji wa filamu za jukwaa.
Eneo hilo pia ni nyumbani kwa eneo lililohifadhiwa la Ngorongoro, ambayo ina "Olduvai Gorge", ambapo baadhi ya "hominid fossils" kongwe hupatikana, vilevile pia "Ngorongoro Crater", caldera ya volkeno kubwa zaidi ulimwenguni


Friday, July 5, 2013

KENYA YAISUSIA SHEREHE YA UHURU WA MAREKANI

Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuzorota uhusiano wa Nairobi na Washington, maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kenya wamesusia sherehe za uhuru wa Marekani zilizofanyika jana usiku katika ubalozi wa Marekani mjini Nairobi.
Katika hafla hiyo ambayo maafisa wote wa ngazi za juu serikalini walialikwa, rais na naibu wake hawakuhudhuria, aidha hakuna waziri au katibu mkuu wa wizara aliyehudhuria hafla hiyo. Sherehe hizo zimekuja siku mbili tu baada ya Rais Obama kukamilisha safari yake ya kuzitembelea nchi za Afrika pasina kuitembelea Kenya kama Rais Uhuru Kenyatta wa Kenyailivyotarajiwa. Afisa pekee wa serikali ya Jubilee aliyehudhuria sherehe hizo ni Spika wa Senate Ekwe Ethuro na maafisa wa ngazi za chini kutoka Wizara ya Mambo ya Nje.
Hivi karibuni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema serikali yake haibabaishwi na mitazamo ya nchi za Magharibi ambazo zimekuwa zikimpiga vita. Rais Kenyatta alisema mitazamo ya nchi za Magharibi haitaizuia serikali ya Jubilee kuwahudumia Wakenya.
Chanzo iran swahil radio 

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI WASHINGTON, DC TAYARI KWA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI NA SHEREHE YA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO




  Mhe. Rais Mustaafu Ali Hassani Mwinyi akishuka kwenye gari akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa Dulles Sterling, Virginia Mhe. Mwinyi amekuja kwa ajili ya Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na sherehe ya miaka 3 ya Blog ya Vijimambo litakalofanyika Jumamosi July 6, 2013.

 
  Rais Mustaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Afisa habari Mindi Kasiga wakati alipokua akiingia Hotelini.

 
 Rais Mustaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Afisa Ubalozi Bwn. Mwafongo huku Kaimu Balozi Mama Lily munanka akiwatambulisha.
 
 Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV na mwanakamati wa kamati ya maandalizi ya miaka 3 y.a Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani
 
  Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Katibu wa kamati ya maandalizi, Asha Nyang'anyi.

 
 
  Juu na chini ni Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na watoto watakaompa maua.
 

 Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na katibu msaidizi Bwn. Julius Katanga, na Masanja Mkandamizaji akiwatayari kusalimiana na Mhe. Ali Hassan Mwinyi.
 Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana akisalimiana na Shilole.


  Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akipokea maua toka kwa Munirah

 

 Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe Sitti Mwinyi katika picha ya pamoja na Brian, na Munirah, watoto waliowapa maua.

MHE. EDWARD LOWASA ALIPOWASILI MKOANI MWANZA






MHE. EDWARD LOWASA ALIPOWASILI MKOANI MWANZA

 

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Baraka Kunisaga (DC. Nyamagana) akimpokea Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa (MB-Monduli) alipowasili leo uwanja wa ndege wa Mwanza.

 

 Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akisaini Kitabu cha wageni VIP baada ya kuwasili leo Jijini Mwanza.


 
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza (RAS) Doroth Mwanyika akisalimiana na Mhe.Lowassa baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwanza anayefuata ni Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mery Tesha .

 
 Waziri Mkuu mstaafu Mhe.Lowassa akisalimiana na Shekh Ferej ambaye aliongoza mashekh na viongozi wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza uwanjani hapo kumpokea.
 
 Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza Shekh Mohamed Bara akisalimiana na Waziri Mkuu msataafu Mhe. Edward lowassa uwajna wa ndege .

 
 Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza Shekh Mohamed Bara akisalimiana na Waziri Mkuu msataafu Mhe. Edward lowassa uwajna wa ndege .
 

 Shekh Hassan Kabete wa JASUTA


 Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Seleman Mzee alikuwepo kwenye mapokezi na hapa akisalimiana na Mhe. Lowassa

 
 Kada maarufu wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Wilaya ya Busega Dkt. Raphael Chegeni akisalimiana na Mhe. Lowassa.

 Mfanyabiashara maarufu wa Mkoani Arusha na Mjumbe wa NEC (CCM-Taifa) Wilaya ya Arumeru ambaye ni mwekezaji mkubwa wa Jiji la Mwanza naye alikuwepo kumpokea .
 
 Mzee maarufu na Kada wa CCM wa siku nyingi Ally Zagamba akisalimiana na rafiki yake Mhe.Lowassa
 
Mwanahabari na Mdau wa Blog ya G. Sengo Peter K. Fabian akisalimiana na Mhe. Lowassa.

 
 Umati wa wanawake wa dini ya kisilam waliokuwa wamejipanga nje ya VIP kusalimiana na Mhe.Lowassa
 
 Mama maarufu wa Jijiji Mwanza Mama Magige akiteta jambo na Mhe. Lowassa baada ya kusalimiana naye.
 
Moja ya wanawake wa kisilam ambaye ni kiongozi akisalimiana  na Mhe. Lowassa 

Wanawake waliojitokeza kumpokea Mhe. Lowassa  




WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa tarehe 05/06/2013 amelitikisa Jiji la Mwanza baada ya mamia ya wananchi,viongozi mbalimbali na wamachinga waendesha pikipiki (Bodaboda) kujitokeza kwa wingi katika mapokezi yaliyoanzia uwanja wa ndege wa Mwanza hadi Mjini kati.

Mapokezi hayo yaliyoongozwa na viongozi wa serikali,madhehebu ya dini,wamachinga ambao ni waendesha pikipiki,wafanyabiashara na makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yaliweza kufunika mapokezi ya awali ya leo asubuhi ya  Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyekuwa amewasili Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Kongamano na Mkutano wa wadau wa sekta ndogo ya Pamba unaofanyika jijini hapa.

Baadhi ya wananchi na wakazi wa Jiji hilo walioongozwa na viongozi wa serikali na Makada mbalimbali wa CCM na Taasisi na Madhehebu ya kidini walifurika kwa mamia kumpokea na wengi wa wananchi walikuwa pembezoni mwa barabara kuu ya kutoka uwanja wandege wakimshangilia huku msafara wake ukiwa na magari zaidi ya 90 na pikipiki zaidi ya 200 zilizopamba msafara huo.

Waziri mkuu mstaafu huyo leo  anataraji kushiriki harambee ya kuchangia kituo cha redio IQRA Fm cha jiji Mwanza ili kusaidia kuongeza usikivu wa matangazo yake na kukidhi haja za kujiendesha katika hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest kuanzia majira ya saa 1:00 usiku kabla ya tukio hilo Lowassa atatembelea ofisi za Umoja wa Machinga wa jijini Mwanza (SHIUMA) na kisha kuzungumza nao katika ukumbi wa New Mwanza Hotel majira ya saa 4:00 asubuhi.

Mheshimiwa Lowassa katika harambee hiyo anatarajiwa kuungwa mkono na baadhi ya wabunge wenzake, makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi, wafanyabiashara, Taasisi na makampuni ili kufanikisha adhma na lengo lililokusudiwa kutokana na ushawishi alionao na kwa muonekano wa mapokezi yaliyofanyika uwanja wa ndege imeonyesha Mhe. Lowassa ni kipenzi cha watu na bado ananguvu ya kukubalika kwa wananchi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya harambee ya kituo cha radio IQRA ambayo inaongozwa na taasisi ya kiislamu chini ya BAKWATA mkoa wa Mwanza Shekhe Hassan Kabete alisema maandalizi tayari yamekamilika kwa asilimia 100 yakichagizwa na kuwasili kwa mgeni rasmi Lowassa ambaye ni mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha.

“Tunayo matumaini kwamba tutatimiza lengo la kile tunachotaraji kukusanya kwenye harambee yetu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 400, ambapo tayari mfuko wetu umekwisha kusanya kiasi cha shilingi milioni 190 hivyo tunataraji lengo litafikiwa nap engine kuvukwa” alisema Shekh Kabete
 
 

NSSF YASIFIWA KWA KUTOA HUDUMA BORA

 
 
 
 

Eight bidders vie for Dar commuter train services project Transport minister, Dr Harrison Mwakyembe Said

Friday, May 17, 2013

Eight bidders vie for Dar commuter train services project

BY DICKSON NG`HILY


Transport minister, Dr Harrison Mwakyembe
 
 
 
Eight bidders have shown interest in investing in Dar es Salaam commuter train services and would submit their proposals later this month, Parliament was informed here on 17th May 2013
by the Transport minister Dr Harrison Mwakyembe said that the move is aimed at ensuring the city provides quality services to the public.

“We want to improve service delivery. The investor will use the existing rail infrastructure with Diesel Multiple Unity (DMUs),” he said.

Mwakyembe told the House when presenting his ministry’s budget estimates that Reli Assets Holding Company (Rahaco) has not carried out a feasibility study to expand the city commuter train services to places such as Luguruni, Bunju, Chamazi and Pugu.

He said his ministry considers linking Gongo la Mboto and the city centre to help people living along the central railway line.

“The launch of commuter train services has helped to reduce traffic jams in Dar es Salaam. By ferrying 14,000 passengers daily we have withdrawn 467 commuter buses with the capacity of carrying 30 passengers each,” Mwakyembe explained.

On the performance of Dar es Salaam port, the minister said that for fiscal year 2012/13, the Tanzania Ports Authority (TPA) planned to handle 12.65 million tons of cargo but managed to reach 9.1 million tons in the past nine months, equivalent to 72 percent of the target.

In the coming financial year, the minister TPA plans to handle 13.84 million tons.

“Tanzania also plans to sign Bilateral Air Services Agreements (BASA) with various countries so as to meet requirements of the free market. Such agreements will involve the governments of South Sudan, Australia, Italy, Syria and Mauritania,” Dr Mwakyembe revealed.

The Transport ministry requested Parliament to approve 491.1bn/- for the financial year 2013/2014. Of the amount, 100.6bn/- would be used for recurrent expenditure and 390.52bn/- will be for development expenditure.

Presenting the views of the opposition camp, Pauline Gekuli (Special Seat MP - Chadema), on behalf of the spokesperson for the ministry, urged government to increase funds to enable it attain its targets.

“The opposition camp is shocked that the government has allocated only 113.2bn/- for purchasing, repairing of train and wagons, paying debts as well as maintaining railways. The money isn’t enough if we want to improve the railway sub sector,” she said.

“Mind you, the government plans to handle at least 800,000 tons and 3 million tons by 2014 and 2015 respectively. It’s a day dream to reach the target with such limited funds.”

The vice-chairman of the Parliamentary Standing Committee on Infrastructure Prof Juma Kapuya blamed the government for delaying the approved fund, saying “the committee is not satisfied with the disbursement of funds.”

“We want the government to ensure it gives the ministry the required money as approved by the House to enable the ministry implement its plans,” he said. 
SOURCE: THE GUARDIAN  at

Maasai traditional council in Loliondo meet president








Laanoi Munge, secretary of Maasai traditional council in Loliondo, represents members of the council in reading a report on land disputes in the area at a press conference held in Dar es Salaam 17th May 2013
.

Maasai elders from Loliondo in Ngorongoro District and their secretary are in Dar es Salaam where they were demanding to convene with President Jakaya Kikwete over claims that their land has been grabbed by the government.

They have warned that tensions are mounting and threat of violence is imminent should the authorities remain silent.

“MPs and other ministers have failed to work on the issue quickly so that we could be assured of what steps have been taken to solve the problem,” complained Laanoi Munge, the elders’ secretary.

Briefing journalists in Dar es Salaam yesterday, Munge, accompanied by 13 elders from various areas of Loliondo, complained further that the elders, who serve as their community’s traditional leaders have been forced to stop performing development issues due to the growing unrest.
“We have stopped doing economic and development activities in an attempt to restore peace but we are tired of the same story everyday … we want action,” Munge asserted on the elders behalf.

Expounding, he said, their people have been abandoned and left hopeless even after recent promising statements by various government leaders which have apparently proved fruitless. That being the case, Munge called on the President organise an urgent meeting with them to discuss the matter.

The elders’ group Chairman, Joseph Tiripai, cautioned that if their efforts will not be acknowledged then they will be forced to seek aid from international organizations to help them resolve the matter.

“We believe that by seeking international organisations’ help, the matter will be resolved and the government will quickly work on our demands,” he said, cautioning that their villagers will fight to the end rather than stand by and lose their land to investors.

“We are doing all we can to calm them down but they are tired of waiting on empty promises … what they want is a quick resolution to the matter,” Tiripai said.

The land dispute is related to the recent announcement by Natural Resources and Tourism minister Khamis Kagasheki to foreign diplomats in Tanzania that the government has finally resolved the over 20-year-old disputed area.

Recently Kagasheki said that to the Loliondo villagers, 2,500 sq kms of land has been allocated and the remaining 1500 sq kms has been set aside as a reserve to conserve wildlife, flora and fauna.

“The government’s intention over the 1,500 sq kms of land is to protect a breeding area and a corridor for iconic great migration of wildlife and a critical water catchment area for Serengeti National Park and Ngorongoro Conservation Area,” the minister had elaborated.

But the elders want further clarification and they now seek it from the President himself.

Tuesday, February 19, 2013



Serikali yamkaanga Sheikh Ponda!
- DPP asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar
- Ahusishwa na mauaji ya sheikh mmoja kule Mombasa, Kenya
- Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho (Ijumaa) kwenda kwa DPP
(February 14 2013)
 


MAMBO YA KIJIJINI






 WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, Rais Jakaya Kikwete aliahidi kusambaza pikipiki za matairi matatu (bajaj) zipatazo 400,000 katika hospitali, zahanati na vituo vya afya nchini kwa nia ya kusaidia wagonjwa hususani wanawake wajawazito kuwahishwa hospitali wakati wa kujifungua.

Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, Bajaji hizo hazitumiki kubeba wajawazito kama ilivyokusudiwa kutokana na ubovu wa barabara

Endelea kusoma kuhusu hizi Bajaj za Kikwete na changamoto ya Usafiri kwa Wajawazito vijijini



 
 Baba Mtakatifu, Papa Benedict XVI atangaza kuachia madaraka ya kuongoza Kanisa Katoliki duniani Februari 28 Mwaka huu kwa sababu za kiafya.

 

February 11 2013
Mheshimiwa  Tundu Lissu na Mama Anne Makinda wakila good time baada ya kazi ngumu bungeni.Yabungeni yanaishia huko huko.Nje ya mjengo wote sawa!

 

 

February 10 2013

Mambo ya CCM na CHADEMA wakigomea bendera.Inasemekana CCM waliondoa ya CHADEMA ili wasimike yao ndipo mambo yakawa hivi.....Na hii ndiyo Picha ya kufungia wiki hii...
 

February 10 2013

MAMBO YA RAIS WA TANZANIA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETA NA JACOB ZUMA.Tufurahie na Rais wetu, tuna mengi ya kujivunia
 

 

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
- Kwa wastani tikiti maji huchukua hadi SIKU 90 (maximum) kuanzia kupanda hadi kuvuna, kwa mwaka unaweza kulima mara 4, Mbegu ya 'Sugar Baby' hukomaa mapema
- Spacing kati ya mmea na mmea ni 2m x 2m na kila ekari inakuwa na mashimo (mimea) 1,000 kila mmea ukitoa walau matunda 5


  February 9 2013

Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'!

- Ni Wabunge Tundu Lissu (Singida Mashariki, CHADEMA), Joshua Nassari (Arumeru Mashariki, CHADEMA), Pauline Gekul (Viti Maalumu, CHADEMA) na John Mnyika (Ubungo, CHADEMA)
- Hatua kuchukuliwa dhidi yao...
Nikawaida yao wakishaambiwa ukwel wanadai ni fujo ndan ya bunge,niserikan ya aina gan hii icyo taka kuambiwa ukweli, karne hii ya 20 kwel kaz ipo..

 

 Kwanini hiki kinaitwa "Kibao cha MBUZI?" February 8 2013




February 7 2013

Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini alifariki dunia.


 
R.I.P THOMAS LAIZER.

 February 6 2013 AT NATIONAL STADIUM

FIFA International Friendly Match - Tanzania beats Cameroon!

Full Time Results: Tanzania 1 - 0 Cameroon (Goli limefungwa na Mbwana Samatta)


 Wape maneno Lissu na Ndugai...Msigwa na Nassari watakuwa wanasemaje? February 5 2013

 


January 23 2013 Madawa ya Kulevya Tanzania: Serikali imeshindwa, tufanyeje?

- Vijana wengi wa kitanzania wanazidi kuumia tokana na biashara hii haramu inayowanufaisha wachache huku 'wakiwaua' ndugu zetu
- Baadhi ya wasanii wanadaiwa kuwa watumiaji na kwa namna moja ama nyingine wameathirika kiufanisi
katika usanii wao





January 19 2013 Tanzania: Tume ya Uchaguzi (NEC) yakiri haiko uhuru!

* Yataka iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
* Yasisitiza isiingiliwe na mamlaka yoyote nchini
* Lubuva: Wajumbe wa tume waapishwe na Jaji Mkuu 
 


 
Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyeshelehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani.
February 2013
 
 January 28 2013

UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

- Wataka gesi isiondoke Mtwara mpaka serikali iiweke wazi mikataba yote kwa wananchi, Serikali ikae na wananchi ili wapate maridhiano
- Wadai Kinana ni mmojawapo wa Wakurugenzi wa ARTUMAS, hivyo Kinana na CCM wananufaika na mikataba hii
- Wasema 'Wawekezaji wanakaribishwa lakini wawe makini na mikataba ya kifisadi'


 January 28 2013

Breaking News: Lulu (Elizabeth Michael) aachiwa kwa dhamana!

- Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani na wafadhili kuweka bondi ya Shilingi mil 20







HIVI HII NI KWELI AU WANAMSINGIZIA MHESHIMIWA?

January 28 2013

Mbunge wa Bukoba Vijijini [Jason Rweikiza (CCM)]: Wanaohoji ahadi zangu ni wagonjwa wa akili!

- Alitoa ahadi ya kuwasomesha watoto watano kila kata ambao wanatakiwa kujiunga na kidato cha kwanza pamoja na watoto watano kila kata ambao wana umri wa kuanza shule ya awali, ambao alisema kuwa atawasomesha bure hadi darasa la saba
- Asema hakuwa na mkataba nao!







January 25 2013
Gari linalosadikiwa kuwa lilikuwa limeandaliwa kwenda kumchukua Bibi Somoye Issa (90) ambaye ni Mkuu wa Kaya aliyetoa kauli kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, itageuka kuwa maji, kuchomwa moto usiku wa jana huko kijijini Msimbati, Mtwara. Kijiji cha Msimbati ndicho ambacho miradi ya kuvuna gesi asilia imesimikwa