Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alivyoungana na DC wa Kinondoni Paul Makonda kutatua mgomo wa Mabasi Ubungo Dar es Salaam '
Mbowe akiwapungia wananchi
Mwenyekiti
wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mh Freeman Mbowe alipokuwa katika stendi ya mabasi Ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa
wakiendelea na mgomo na kuitaka serikali iwasikilize shida zao.
Mbowe ambaye aliwasili majira ya saa nne kasoro robo asubuhi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakifuta barabara ili gari yake ipite huku nyimbo za Ukawa zikiimbwa, jambo ambalo lilizua taharuki katika eneo hilo.
Kuhusu mgomo huo mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh PAUL MAKONDA aliwaomba madereva hao kuendelea na kazi na ndani ya siku saba serikali itakua tayari imeshatoa tamko.
Madereva hao wamekubali kuanza safari kwa sharti la ndani ya siku saba wawe wamesikilizwa kero zao.

No comments:
Post a Comment