|
KILIMO CHA MBOGA MBOGA - KUNDE |
''Katika maisha fanya mambo mbalimbali kwa umakini na kwa kumtanguliza Mwenyezi Mungu Utafanikiwa''. Picha iliyoko kulia ni sehemu ya bustani ya mwanachama wa Kipunguni B Luthen Church SACCOS Ltd ( KBLC SACCOS ) Witness Living Kowero ambaye ameamua kupambana na umaskini kwa vitendo kwa kuanzisha kilimo cha mbogamboga nyumbani kwake maeneo ya Mazizini Kota Ukonga Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment