SHINE ECONOMIC BUSINESS FOUNDATION
Global economic and business news
Tuesday, April 12, 2022
Pichani mwenyekiti wa Bodi ya KBLC SACCOS ndugu Emmanuel Edwin Minja akiwa katika ofisi yao ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS - KBLC SACCOS kukagua mwenendo wa shughuli za SACCOS kipindi cha janga la uviko -19
Meneja wa SACCOS Saiphet William Mlacha akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa Bodi ya KBLC SACCOS ndugu Emmanuel Edwin Minja katika ofisi yao ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS - KBLC tarehe 29-03-2022 saa 7:48 mchana. Hakika uongozi ni maono
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)