Tuesday, April 12, 2022

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KBLC SACCOS ndugu Emmanuel Edwin Minja (Kulia) akiwa na Meneja wa KBLC SACCOS ndugu Saiphet William Mlacha (Kushoto) katika ofisi ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS - KBLC tarehe 29-03-2022 saa 7:48 mchana.

Uongozi ni maonoMeneja wa SACCOS, Bw. Saiphet William Mlacha, akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KBLC SACCOS, Ndugu Emmanuel Edwin Minja, katika ofisi za Kipunguni B Lutheran Church SACCOS (KBLC) mnamo tarehe 29 Machi 2022, saa 7:48 mchana.
Hakika, uongozi ni maono.

No comments:

Post a Comment