Mzee wa kabila moja maarufu huko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Kilimanjaro akitokea sokoni kujipatia mbuzi wa kitoweo. Hii ni taswira ya kiutamaduni na kiuchumi, inaonyesha desturi ya kununua mbuzi kwa ajili ya sikukuu. Picha na Emmanuel Minja
Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwaunganisha wakulima na wafugaji kupitia mbinu bora, za kisasa na zenye tija katika kilimo na ufugaji wa mbuzi kibiashara. Tunalenga kuongeza uzalishaji wa mbuzi na kipato, kuboresha maisha ya jamii vijijini na mijini na kuwa daraja linalowaunganisha moja kwa moja wafugaji na masoko salama, yenye faida na uhakika.
No comments:
Post a Comment