Mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama cha Mapinduzi Ndugu Ridhiwani
Kikwete akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha
Matuli kata ya Chalinze kwa ajili ya mkutano wa kampeni za uchaguzi
mdogo wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu jimboni
humo, Ridhiwani amewaomba wananchi hao kumpa kura za ndiyo ifikapo
Aprili 6 ili aweze kuwatumikia na kuleta maendeleo ya jimbo hilo
akishirikiana na wananchi kwa ujumla wake. (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA
FULLSHANGWE-CHALINZE)
No comments:
Post a Comment