Wednesday, October 1, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LATOA MASHINE 28 ZA KUFYATULIA MATOFALI KWA VIJANA MKOANI PWANI‏

 Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.
Shirika la Nyumba la Taifa limetoa mashine hizo zenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 pamoja na mafunzo kwa vijana ya wiki mbili ambapo baada ya kumaliza mafunzo Shirika litatoa msaada wa shilingi laki tano kwa kila kikundi kama mtaji .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa pwani Pauline Mrango kwa kutoa mashine 28 za kuwasaidia vijana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa na shirika la nyumba la Taifa kwenda kwenye halmashauri zote za mkoa wa Pwani.
Mashine 28 zitawasaidia vijana mkoa wa Pwani kuondokana na tatizo la ajira, pili litasaidia sana katika utunzaji wa mazingira,zitasaidia wananchi kujenga nyumba za kisasa na kwa bei nafuu.(Adam Mzee)

Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika Mtaa wa Muheza, wilayani Kibaha

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
 ujenzi wa jkmbi ya vijana Boko timiza kibaha pwani
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlao wakisaidia kufyeka katika shughuli ya usafishahji wa shamba la Vijana wakati wa ufunguzi wa Kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM eneo la Boko Timiza, wakati wa ziara ya katika muendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.

KINANA ASIKITISHWA SERIKJALI KUTOITENDEA HAKI HOSPITALI TEULE YA TUMBI,KIBAHA Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlao wakisaidia kufyeka katika shughuli ya usafishahji wa shamba la Vijana wakati wa ufunguzi wa Kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM eneo la Boko Timiza, wakati wa ziara ya katika muendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi. Kinana akiteremka baada ya kuweka jiwe la msingi na kushiriki ujenzi wa tanki maji katika Mtaa wa Muheza katika Jimbo la Kibaha Mjini wakati wa ziara yake. Katibu Mkuu Kinana akishirikiana na viongozi wengine kusafisha shamba la Hekali 25 za shamba la Vijana eneo la Boko timizi wilayani Kibaha. Kinana akizindua ujenzi wa jengo la CCM wilaya ya Kibaha linalojengwa kwa msaada wa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka (kushoto kwake) kwa gharama ya sh. mil 100 mjini Kibaha, Pwani. Kinana akishiriki katika ujenzi wa jengo la CCM Wilaya ya Kibaha linalojengwa kwa msaada uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakati wa ujenzi wa jengo hilo. Kinana akihutubia baada ya kushiriki katika ujenzi wa jengo hilo la CCM Ramani ya jengo la CCM Wilaya ya Kibaha Kinana akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo Chipukizi wa CCM wakiimba wimbo mbele ya Kinana na wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo hilo la CCM Kinana akiwapongeza chipukizi wa CCM kwa kuimba wimbo mzuri wenye maudhui ya kuwaponda wapinzani Vijana wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kambi ya Vijana eneo la Boko timizi, Kibaha. Kinana aliwataka vijana nchini kujenga tabia ya kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kulia), akichangia fedha kwa ajili ya kambi ya vijana wa CCM iliyoanza leo. Vijana wakishangilia baada ya Katibu Mkuu wa CCM kushiriki nao kufyeka shamba lao. Kinana akiingia kukagua Kinana akimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Afya wa Hospitali Teule ya Tumbi,Dk.Peter Dattani (kulia0, aliyekuwa akielezea jinsi chumba cha tiba ya wagonjwa mahututi kilivyoosa baadhi ya vifaa vikiwemo mashine vilivyoahidiwa kutolewa na serikali takribani miaka mitatu imepita. Chumba hicho muhimu hakina huduma muhimu ukizingatia kwamba hospitali hiyo inatoa huduma za majeruhi wengi wa ajali nyingi zinazotokea katika Barabara ya Morogoro. Kinana akimuangalia mmoja wa majeruhi wa ajali akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo Moja ya majengo mapya ya hospitali hiyo Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika Mtaa wa Muheza, wilayani Kibaha leo

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
TANKI LA MAJI ENEO LA MTAA WA MUHEZA KIBAHA PWANI LIKIKAGULIWA ZOEZI LA UFYEKAJI WA ENEO LA EKARI 25 LA SHAMBA LA VIJANA BOKO TIMIZA KIBAHA PWANI
VIJANA WA KAMBI YA BOKA TIMIZA WAKIIMBA NYIMBO MBALIMBALI