Kisarawe mkoani wa Pwani wapokea ugeni mkubwa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Maneromango jana, wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe, Pwani ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi. (Picha zote na Richard Mwaikenda wa Kamanda wa matukio blog)
Wananchi wa Kata ya Maneromango wakisikiliza kwa makini hotuba ya Kinana katika mkutano huo. ambapo aliwananga wapinzani kuwa wapo kwa ajili ya kupanga maandamano, kutukana, kutoa manaeneo machafu kwa Serikali wakati CCM ipo kiutendaji zaidi katika masuala ya maendeleo ya wananchi.
Kinana akihutubia baada yakuweka jiwe la msingi katika jengo la Zahanati ya Palaka, Kata ya Malumbo wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe leo.
Kinana akimjulia hali mama aliyekuwa anauguza mwanawe alipotembelea hospitali hiyo.
Kinana akiangalia wauguzi wakimtibia mtoto katika hospitali hiyo.
Kinana akisidia kujenga marumaru katika jengo jipya la wodi ya wazazi katika Hospitali ya Kisarawe.
Jengo la zamani la kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Kisarawe.
Kinana akifunua pazia alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo jipya la Zahanati ya Palaka, Kata ya Malumbo, Kisarawe
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kisarawe, Dk. Happiness Ndosi akimuelekeza Kinana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa zahanati hiyo.
Wananchi wa Kijiji cha Palaka, wakimshangilia Kinana alipokuwa akihutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika Zahanati Palaka.
Wananchi wakiwa katika hafla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa zahanati hiyo ya Palaka.
Kinana akisaidia kufyatua matofali ya kujengea maabara katika Shule ya Sekondari ya Gongoni, katika Kata ya Gongoni, wilayani Kisarawe. Matofali hayo yanafyatuliwa na wanakikundi cha vijana cha wajasiriamali.
Kinana akiondoa tofali alilolifyatua katika mradi huo wa matofali wa vijana.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Maneromango.
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Suleiman Jaffo akielezea kwa wananchi jinsi miradi mingi iliyokamilika ujenzi wake kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

No comments:
Post a Comment