MAFANIKIO WAKATI WOTE YANALETA TABASAMU
Mbunge wa Nyamagana Mwanza kwa tiketi ya Chadema na wananchi wa jimbo lake Ezekiah Wenje amewataka
wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuacha unafiki na
badala yake waitishe mjadala wa kitaifa kuhusu lugha maalum ya
kufundishia kwa shule za msingi.Alisema “Lugha kwenye
primary school ni Kiingereza au kiswahili? mimi nawachallenge acheni
unafiki, kama ni Kiswahili iwe Kiswahili kwenye primary School kama ni
Kiingereza basi na hizo
Mshindi wa Tusker Project Fame
2012 Mkenya Ruth Matete kwa mara ya kwanza ameongea kwenye AMPLIFAYA ya
CLOUDS FM na kutaja mabadiliko yaliyotokea kwenye maisha yake kutokana
na milioni 5 za kenya alizokabidhiwa kama sehemu ya zawadi.
Ruth amesema kwanza sasa hivi
hapandi daladala maarufu kama matatu, pia anatembea na mlinzi kila
mahali atakapokwenda.. anafanya kama wanavyofanya mastaa wengine wakubwa
wa dunia, hiyo ni kutokana na ulinzi wake binafsi baada ya kupata huo
umaarufu kupitia Tusker Project fame.
Matatu ambazo zamani Ruth alikua amezoea kuzipanda sana lakini toka ameshinda TPF imebidi aache kutokana na ustaa.Amesema sasa hivi hawezi kununua
vifaa vya muziki kutokana na hizo pesa kwa sababu hajui kupiga chombo
chochote cha muziki lakini anaweza kuziwekeza kwenye sehemu nyingine
japo hajajua ni nini atakachofanya.
Katibu wa Tume hiyo Bw. Assaa Rashid
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi
kuhusu malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa Tume hiyo imeweka ukomo wa
idadi ya wananchi wanaotoa maoni katika mikutano yake inayoendelea
katika mikoa minane na kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi
katika mikutano inayoitishwa na Tume na kutoa maoni yao kwa uhuru na
uwazi.Katibu wa Tume hiyo Bw. Assaa Rashid (pichani)amesema leo (Jumapili, Julai 8, 2012) kuwa Tume ingependa kupata maoni
ya kila mwananchi na hivyo haiwezi kuweka ukomo kwa wananchi kutoa maoni
katika mikutano inayoiitisha.Ufafanuzi wa Tume hiyo unafuatia
taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari zikinukuu baadhi ya
wananchi wakilalamika kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeweka kikomo
cha idadi ya maswali na watu wanaotakiwa kutoa maoni yao katika mikutano
ya kukusanya maoni ya wananchi.
Taarifa hizo ziliongeza kuwa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imekuwa ikitoa nafasi kumi tu kwa wananchi
wanaopaswa kuuliza maswali yasiyozidi kumi katika mkutano mmoja na
kwamba, katika baadhi ya Wilaya, ikiwemo Biharamulo yenye Kata 15, ni
Kata sita tu ndizo zilizofikiwa na Tume.
“Katika baadhi ya
Wilaya, kama Kusini Unguja na Bahi mkoni Dodoma, Tume imelazimika
kuongeza muda wa kupokea maoni ya wananchi na wakati mwingine kuongeza
idadi ya mikutano hadi kufikia mitatu badala ya miwili kwa siku. Hatua
hizi zinalenga kutoa fursa zaidi kwa wananchi kutoa maoni yao,” amesema
Bw. Assaa katika taarifa yake kwa vyombo habari.
Kuhusu
mikutano iliyofanyika wilayani Biharamulo, Bw. Assaa amesema Tume
ilipanga na imefanya mikutano sita kuanzia terehe 2 hadi 4 Julai, 2012
na jumla ya wananchi 267 walitoa maoni yao kwa mdomo na wananchi wengine
265 walitoa maoni yao kwa maandishi.
Kwa mujibu wa katibu
huyo, vituo ambavyo mikutano hiyo ilifanyika ni Kelenge, Movata,
Nyamigogo, Runazi, Nyakanazi na Biharamulo Mjini.
“Katika
mikutano hiyo na mikutano mingine yote Tume haikuweka na haitaweka ukomo
wa idadi ya wananchi wanaopaswa kutoa maoni,” amefafanua Bw. Assaa na
kuongeza kuwa Tume inatambua kuwa wananchi wana shauku kubwa ya kutoa
maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Hata hivyo, Katibu huyo alisema
kuwa ingawa Tume ingependa kumfikia kila mmoja mahali alipo, jiografia
ya nchi na muda ambao Tume imepewa, jambo hilo halitawezekana na
kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi katika maeneo ambayo Tume
itafanya mikutano kama ratiba iliyotolewa inavyoelekeza.
Akifafanua kuhusu malalamiko kuwa baadhi ya Kata hazitafikiwa na Tume,
Bw. Assaa amesema Tume haikupanga ratiba ya mikutano ya kukusanya maoni
haikupangwa kwa kuzingatia Kata, bali imepangwa kwa kuzingatia eneo
ambalo linaweza kujumuisha wananchi kutoka zaidi ya Kata moja.
Pamoja na kutoa maoni yao kupitia mikutano, Tume pia imewaomba wananchi
kuendelea kutumia fursa nyingine kuwasilisha maoniyao kama tovuti ya
Tume (
www.katiba.go.tz),
barua pepe (maoni@katiba.go.tz) au kwa njia ya posta kupitia Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, S.L.P. 1681, Dar es Salaam na S.L.P. 2775,
Zanzibar.
Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kufanya awamu
ya kwanza ya mikutano ya kukusanya maoni ya wananchi katika mikoa minane
tarehe 2 Julai mwaka huu na inatarajiwa kumalizika tarehe 30 mwezi huu.
Mikoa hiyo ni Dodoma, Kagera, Kusini Pemba, Kusini Unguja, Manyara,
Pwani, Shinyanga na Tanga.
Jumatano, Julai 11, 2012: Wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Kijiji cha Veyula, Kata ya
Makutupora, Dodoma kabla ya kuanza kwa mkutano kukusanya maoni ya
wananchi kuhusu Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu
Joseph Warioba
Wananchi wa kijiji cha Mloka, Kata ya Mwaseni
wilayani Rufiji, mkoani Pwani wakimsikiliza Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu katika mkutano wa kukusanya maoni yao
kuhusu Katiba Mpya.
Prof.
Mwesiga Baregu
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof.
Mwesiga Baregu akizungumza na wananchi wa Kata ya Mwaseni wilayani
Rufiji mkoani Pwani katika mkutano wa kukusanya maoni yao kuhusu katiba
Mpya. Wengine ni wajumbe wa Tume hiyo Bw. Ally Saleh, Bi. Fatma Said
Ally na Bi. Al Shaymaa Kweygir.
Nawasilisha...Julai
4, 2012: Mkazi wa Kata Kiegeani, Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani
akiwasilisha maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayokusanya
maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.
Prof. Mwesiga Baregu na Bi. Fatma S.A. Mchumo ofisini kwa
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Pwani, Bi. Sauda Salum Mtondoo
Salaam Kwanza ... Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu na Bi. Fatma S.A. Mchumo ofisini kwa
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Pwani, Bi. Sauda Salum Mtondoo kabla ya kuanza
kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba..
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt.
Sengondo Mvungi akitoa maelezo kwa wananchi wa Kijiji cha Mtende,
Wilaya ya Kusini Unguja waliofika kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya
katika mkutano uliofanyika katika shule ya Mtende. Picha: Othman Maulid.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza
katika mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.
Mkutano huo ulifanyika katika viwanja vya Mtende, Wilaya ya Kusini
Unguja. Picha: Othman Maulid.
Bw.
Duli Ali Duli, mkazi wa Kijiji cha Mzuri, Makunduchi, Wilaya ya Kusini
Unguja, akitoa maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyofika
kijijii hapo kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba Mpya. Picha:
Othman Maulid.
Bi. Aziza Mcha, mkazi wa Kijiji cha Mtende,
Wilaya ya Kusini Unguja akikabidhi karatasi yenye maoni yake kwa Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Mohammed Yussuf Mshamba katika
mkutano uliofanyika katika shule ya Mtende. Picha: Othman Maulid.
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano kati
ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph
Warioba na waandishi wa habari katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya
Bwawani Zanzibar leo
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na
waandishi wa habari katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Zanzibar
leo
Baadhi
ya Wajumbe wakifuatilia mkutano kati ya Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Jaji Warioba na Wanahabari Ukumbi wa Karimjee
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, Katibu wa Tume
Assaa Rashid (kushoto kewa Mwenyekiti) na Dkt. Salim Ahmed Salim, Mjumbe
wa Tume katika mkutano Ukumbi wa Karimjee sasa hivi
Wanahabari wakifuatilia mkutano na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Warioba, Ukumbi wa Karimjee sasa hivi
Waziri
wa Katiba na Sheria Matt Chikawe na Mkurugenzi wa Mashtaka Dkt. Eliezer
Feleshi nje ya Ofisi za Wizara leo wakati Matt alipowasili kuanza kazi
baada ya kula kiapo jana. Kati ni Katibu Mkuu Fanuel Mbonde.
Waziri
Mteule wa Katiba na Sheria Matt Chikawe (shoto) akiteta na Jaji
Kiongozi Fakhihi Jundu muda mfupi kabla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu
Mawaziri leo, Ikulu, Dar.
Naibu
Waziri Katiba na Sheria Angela Kairuki akichat na Naibu Mwanasheria
Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu, Dar, leo mara baada ya hafla ya
kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri.
Waziri
wa Katiba na Sheria (WKS) mteule Matt Chikawe (shoto); WKS anayeondoka
Celina Kombani (kati) na NWKS Angela Kairuki katika kumbukumbu baada ya
kula kiapo leo Ikulu, Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti Jaji Warioba (mbele
katikati) pamoja na wadau wengine baada ya Tume kukabidhiwa Ofisi, Mtaa
wa Ohio, Dar es Salaam leo. Kulia kwa Jaji Warioba ni Waziri Kombani na
kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria ZNZ Abubakari Khamis Bakari.
Wengine ni Makatibu Wakuu Viongozi Balozi O. Sefue (SJMT) na Dkt.
Abdulhamid Yahya Mzee (SMZ); AG Jaji Fredrick Werema na Mwenyekiti
Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala...imesheheni.... at Ohio Street, Dar es Salaam, Tanzania.
Joy
of being a mother -- Mrs. Prisca Chikawe (85) shares a piece of cake
over the weekend in Dar es Salaam with his son Rev. Fr. Hugh Chikawe
(67) from St. Peter Clever Catholic church in Florida, USA who
celebrated his 40 years in priestehood. Looking on is his brother
Mathias Chikawe, Minister of State in the President's (Good Governance)
and his wife, Prof. Amandinda Lihamba.
Ipo sawa kijana... sio Mkataba feki
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Oliver Mhaiki (kulia)
akimkabidhi Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Walemavu Tanzania (SWAUTA)
Bi. Modesta Mpelembwa sehemu ya nakala 1,500 za Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 zenye thamani ya Tshs 32 milioni
zilizoandikwa katika maandishi ya nukta nundu ili kuwawezesha walemavu
wasioona kuisoma Katiba hiyo leo Wizarani.
Mhe. JK akimjulia hali Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari, Marehemu Danny Mwakiteleko MOI
Danny (kulia) na Wanahabari Wengine, Kibanda, Kulangwa na Kwayu...
Mahakama ya Mwanzo ya Kisasa Msoga-Lugoba
Mahakama ya Mwanzo Kilolo - Iringa
Wahe. Werema na Sisco nje ya Ofisi ya AG Dar
Jimbo linatunzwa kama mtoto umleavyo.Kicheko cha Msaada wa Mabati Nachingwea kutoka kwa mheshimiwa Chikawe
Utunzaji wa Nyaraka ni muhimu sana.Wadau waperuzi files za 1968!Upo hapo. Hapo ilikuwa April 1, 2011.inabidi waanze kuhifadhi hizo files in software maana hyo inakuwa soo kutafuta record
Kumekuchaa. Mkurugenzi Mkuu SSRA Bi Irene Isaka na wenzake wakitafakari kwa kina kuhusu fao la
kujitoa.!Hongera Mbunge wa Kisarawe kwa hoja binafsi iliyosababisha Waziri
Kabaka kuchomoa uozo ule.Mambo sasa yatakuwa mswano.
Nape Mnauye (Katibu Mwenezi wa CCM akiwasalimu waheshimiwa Waziri mkuu aliyejiuzulu Mhe. Edward Ngoyai Lowasa na Mhe. Fredrick T. Sumaye kwenye kikao cha November 23, 2011 kwenye yale mambo ya kuvua gamba.Unakumbuka.
Mpiganaji Mroki ktk utekelezaji wa Majukumu. Tulikopitia.
Hillary Rodham Clinton Tue, Jul 17, 2012
WASHINGTON (AP) — If diplomatic achievements were measured by the number of countries visited, Hillary Rodham Clinton would be the most accomplished secretary of state in history.
While
historians will debate and eventually rate her tenure as America's top
diplomat, Clinton is already assured of a place in the State Department
record book.
When her plane touched down at
Andrews Air Force Base
outside Washington early Tuesday morning, the former first lady
completed an epic 13-day journey of 27,000 miles — about 2,000 miles
more than the circumference of the Earth — through and over Europe to
Asia and then doubling back to the Middle East.
One well-traveled
Clinton staffer described the
France-Afghanistan-Japan-Mongolia-Vietnam-Laos-Cambodia-Egypt-Israel
itinerary as "especially absurd, even for us."
Despite the mind- and body-numbing time zone hopping, Clinton joked that she was ready for more.
"I appreciate being here, I am only sorry that I have to leave," she told reporters on her last stop Monday, in Israel.
"My
traveling team is anxious to get home. I'd like to be hanging out in
Jerusalem, but, you know, I have to do my duty," she said with a sigh.
Since
becoming secretary of state in 2009, Clinton has logged 351 days on the
road, traveled to 102 countries and flown a whopping 843,839 miles,
according to the
State Department.
While some previous secretaries may have flown more miles — mainly due
to shuttling back and forth to the Mideast on peace missions — none has
visited more nations.
Clinton broke that record last month,
eclipsing Madeleine Albright's total of 98, when she traveled to Finland
for number 99 and then hit the 100 mark in Latvia.
Not content,
she tacked on another two countries — Mongolia and Laos, where she was
the first secretary of state to visit in 57 years and only the second
ever — on her latest trip. And she has another six months to go before
she reaches her self-imposed deadline to step down and take a breather.
Even with a bed on the plane and her uncanny ability to sleep mid-flight, the grueling schedule can take its toll.
Clinton suffered a rare coughing fit as she finished a speech before the U.S. Chamber of Commerce in Hanoi.
And
while she insisted that she would have preferred to stay all day as
birds sang in Kabul's presidential place, she rushed away when Afghan
President Hamid Karzai suggested taking additional questions.
Arriving in Egypt this weekend after a flight from Cambodia, Clinton and her staff literally didn't know what time it was.
BlackBerrys
automatically reset their times to what should have been Cairo time,
except it wasn't, so the staff set their clocks to Sarajevo time.
Several hours later, the reason for the discrepancy was discovered:
Egypt opted out of daylight saving time this year.
Clinton tells anyone who asks that she won't be staying on if
President Barack Obama
wins a second term — not surprising, given that only one secretary of
state has served more than four years since the 1970s. And after a
bruising fight with Obama for the 2008 Democratic presidential
nomination, she likes to say she won't be returning to the political
stage.
But with her popularity at an all-time high and the
Democrats in likely need of a 2016 candidate regardless of whether Obama
is reelected, there is widespread speculation that she would find a
second stab at becoming first female president irresistible.
First, though, she'll need a nap.
Humu duniani haki hakuna na maisha anayoishi mtu mmoja kwenda
mwingine ni kama vile vidole visivyolingana...!!!
JAMANI NIPENI KURA ZENU NAMI NAAHIDI KUWAPA KULA NIKITINGA MJENGONI....!!!
Mwanzoni penzi huwa tamu kama aples but mwishoni huwa chungu km shubili so ye2 macho
Duh kumbe pazuri kiivyo i heard kuwa rwanda ni nzuri hutafikiri hawakupigana vita.
Kaole kilio,alianzd mzee pwagu akaja mzee kipara sasa kanumba,mmh msiba jaman kama vile bdo utani!
Steven Kanumba alikuwa mtu wa watu. Alikuwa ni nyota ya Filamu TZ na nje Nchi
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI BRO KANUMBA.....UMETUACHA WAKATI TUKIKUHITAJI ZAIDI
My
condolence to u ladies n gentlemen,just remember he's done living so
watch over ur backs,coz nobody knows when oùr journey endz.. N where
does da new one begins!! Farewell.April 7 2012
WANAMAPINDUZI MSIBABAISHWE NA
WATU WASIOJUA THAMANI YAO NA MCHANGO WAO KATIKA TAIFA LAO.BEI YAO NI
RAHISI NI UGALI NA NYAMA CHOMA,BIA,KOFIA NA FULANA KISHA WANAUZA UTU
WAO.WANAPINDUZI SIMANENI KIDETE PIGENI KURA,LINDENI KURA MPAKA UKOMBOZI
KAMILI DHIDI YA MAFISADI
HABARI ZISIZO RASMI ZINASEMA KWAMBA....
Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh
Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila
kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na
LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na
kasema atalipa hizo gharama za kesi. Aprili 5 2012
Tukikitumia vyema kikosi hiki kitatufikisha kwenye nchi ile inayotiririka asali na maziwa
Viongozi mkiwa na
umoja na tukiendelea na speed hii 2015 asilima 98 mnaweza kushinda,chamsingi ni muhimu kwenda vijijini kuwaelimisha
wananchi kwani saivi mijini na uhakika hakuna tabu!Haya?
Kulia unayemwona ni Diamond Maige akimtoa pepo mtoto wa kike wakati akitoka kanisani KWA MWINGIRA-MWENGE. Februari 26 2012
THE MOST IMPORTANT PERSON........
..... on earth is a mother.
She can not claim the honor of having built a great cathedral or a
basilica, she can not! But she has built something more magnificent than
a cathedral - a dwelling for an immortal soul, the tiny perfection of
her baby's body....
The angels have not been blessed with such a
grace. They cannot share in God's creative miracle to bring new saints
to heaven, only a human mother can!!
Mothers are closer to God the
creator than any other human creature. God joins forces with mothers in
performing this act of creation....
WHAT ON EARTH IS MORE GLORIOUS THAN THIS...... To Be a Mother, ... and to have a mother!!
HAPPY MOTHERS' DAY!!
HATUTA ACHA UTAMADUNI WETU KAMWE