EDITOR OBAMA............ Mr. President anafanya masahihisho kabla ya kuisoma hadharani hotuba do you see this????? how about our africa president's????????
Michelle Obama akionyesha vitu vyake uwanjani
Mheshimiwa John Magufuli kulia akisalimiana na Mheshimiwa Shukuru Kawambwa''GOOD MORNING........I
LIKE WHEN U WAKE UP IN THE MORNING BY SMILING AND YOU WILL SEE. TRY
THIS JUST SMILE TO EVERYONE WHOM YOU SEE IN FRONT OF YOU SIMPLY
EXPERIMENT..........
Taifa
lililopata UHURU zaidi ya miaka 200 iliyopita kama walivyokutwa ktk
chumba maarufu ndani ya IKULU ya Marekani,OVAL wakishusha sala kabla ya
Mazungumzo yao na chumba mara nyingi hutumia Rais wa Nchi hiyo OBAMA
akiwa ktk mazungumzo na viongozi wa nchi mbalimbali.Wanamtanguliza Mungu wewe je ? Jiulize ulipoamka leo umemshukuru Mungu
kukulinda usiku??? Neno waliloweka ktk DOLA yao namaanisha pesa ya
Marekani "IN GOD WE TRUST". Kwa kweli kwanini Taifa kama hili lisizidi
kuwa na Nguvu duniani ?????
Mkutano
wa Pili wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza hii
leo Mjini DODOMA ambapo hoja mbili kati ya SABA zilizotegemea
kuwasilishwa hazitawasilishwa.......... ....Hoja ambazo hazitawasilishwa ni ni DOWANS na mabadiliko ya KATIBA..........February 8, 2011
ROYAL SNUB: Prince William Will Not Invite The Obamas To His Wedding
Familia ya Obama haitaalikwa katika harusa ya Prince Willie kutokana na sababu moja wapo ni kutomwinamia Malkia Elizabeth na badala yake kumwinamia Mfalme wa Nchi za falme za kiarabu Mfalme Abdallah............ na badala yake kumwalika mpenzi wake wa zamani Kate Middleton lakini wao wametumia maneno makali ambayo kwa tafsiri ya kiswahili na kamusi yangu ndogo ngoja ninukuu kutoka kwenye gazeti moja wapo nililosoma la uingereza......December 22, 2010
The prince prefers to hold the first ever “People’s wedding” and invite common folk like his fiancĂ©e, Kate Middleton.
JAMANI KITI HICHO KINAGOMBEWA
Mpaka
sasa CCM imepitisha majina 3 ya kugombea nafasi ya Uspika kati ya 13
waliochukua fomu ambao ni ANNA MAKINDA,ANNA ABDALLAH na KATE KAMBA leo
majira ya saa4 asubuhi kamati kuu ya CCM watakaa na kupitisha jina mmoja
huku CHADEMA wakipitisha jina mmoja la MABERE NYAUCHO MARANDO kazi ipo
kweli kweli...November 10, 2010
No comments:
Post a Comment