Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwaunganisha wakulima na wafugaji kupitia mbinu bora, za kisasa na zenye tija katika kilimo na ufugaji wa mbuzi kibiashara. Tunalenga kuongeza uzalishaji wa mbuzi na kipato, kuboresha maisha ya jamii vijijini na mijini na kuwa daraja linalowaunganisha moja kwa moja wafugaji na masoko salama, yenye faida na uhakika.
Wednesday, August 8, 2012
Aliyekuwa waziri wa Fedha Mhe. Mustafa H. Mkullo na Mbunge wa Kilosa alipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye viwanja vya Nzuguni Mkoani Dodoma 07.08.2012 kwenye maonyesho ya nanenane
No comments:
Post a Comment