Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na washiriki wa wiki ya Wajasiriamali nchini iliyozinduliwa rasmi jana jijini Dar es Salaam itakayodumu kwa muda wa wiki nzima nchini.
Chief Technical Advisor Youth Entrepreneurship Facility and WED -ILO
Bw. Jealous Chirove akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Kimataifa
ya Wajasiriamali uliofanyika jijini Dar es Salaam ambapo amesema vijana
lazima wawe na moyo wa kujituma na kuhakikisha wanapanua wigo wa
kujiajiri wenyewe na kuondokana na fikra za kuajiriwa peke yake.Aliongeza
kuwa ujasiriamali katika nchini kama Tanzania ni mkombozi wa pekee
katika tatizo la ajira hasa kwa vijana kwa kujiendeleza na mafunzo
mbalimbali ya ujasiriamali kama njia pekee ya kujiajiri
Mwenyekiti wa CCM Mhe.Dk. Jakaya Kikwete akipongezwa na viongozi mbalimbali kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchanguzi wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment