Maprofesa wakiwa wanaendelea na kazi ya kuchimbua nyayo za zamadamu(WANACHIMBUA NYAYO ZA LAITOLI HUKO NGORONGORO)
JAKAYA KIKWETE NDANI YA LAITOLI NGORONGORO. Hapa Mheshimiwa Rais akiwa anashika nyayo hizo kwa makini ilikuthibitisha
kweli ni za watu wa kale waliopita katika kijiji hicho cha Laitoli ndani
ya hifadhi ya ngorongoro
No comments:
Post a Comment