RAIS WA CHUO CHA IFM AKIMWELEZA KWA KINA MKUU WA KNADA MAALUMU YA KIPOLISI DAR ES SALAAM JUU YA TATIZO LA KULAWITIWA KWA WENZAO NA WIZI WA MARA KWA MARA ENEO LA KIGAMBONI
WANAFUNZI WANAIBIWA KWA MILANGO KUVUNJWA.ZAIDI YA LAPTOP ZAO 100 WALIELEZA KUWA ZIMEIBIWA ,PIA WANAFUNZI WENZAO WAMELAWITIWA
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA MITAA YA POSTA KUELEKEA KIGAMBONI KUMWONYESHA MKUU WA KANDA MAALUMU YA KIPOLISI DAR ES SALAAM SELEMAN KOVA MAENEO LILIPOTOKEA TATIZO HILO LA KULAWITIWA KWA WANAFUNZI WENZAO WAWILI NA MAJAMBAZI.
WANAFUNZI WAKIANZA MAANDAMANO KUELEKEA FERI KISHA HOSTELI ZA KLIGAMBONI
WANAFUNZI WAKISHUKA KUTOKA KWENYE KIVUKO CHA MV KIGAMBONI KUELEKEA ENEO LA TUKIO
MHE.KOVA AKIZUIA KIVUKO KISIONDOKE HADI WANAFUNZI WAPUNGUE ILI KUWEPO KWA USALAMA KWA CHOMBO HICHO
WANAFUNZI WAKIHARAKISHA KUINGIA KWENYE LANGO LA KIVUKO LEO ASUBUHI
WANAFUNZI WA IFM WAKISHANGILIA UJIO WA MKUU WA KANDA MAALUMU YA KIPOLISI DAR ES SALAAM SULEIMAN KOVA
WANAFUNZI WA IFM WAKIWASILI KWENYE ENEO LA KIVUKO KUFANIKISHA MAANDAMANO YA KUPINGA WANAFUNZI WENZAO KULAWITIWA NA MATUKIO YA WIZI YALIYOSHAMIRI
WANAFUNZI WA IFM WAKIWA ENEO LA POSTA KWENYE MAANDAMANO
KOVA AKITOA MAELEZO KWA WAANDISHI WA HABARI JUU YA HATUA ZITAKAZOCHUKULIWA KUTATUA TATIZO HILO. ALIAMURU WANAFUNZI HAO KWENDA NAYE KIGAMBONI KUFUATILIA TATIZO HILO
WANAFUNZI WA CHUO CHA UONGOZI NA USIMAMIZI WA FEDHA WALIPOWASILI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUELEZEA KERO ZAO NA NAMNA JESHI LA POLISI WALIVYOSHINDWA KUTATUA TATIZO LAO
No comments:
Post a Comment