Wednesday, January 31, 2018

Rais Dkt. John Magufuli amezindua mpango wa hati ya kusafiria ya kielektroniki ya Tanzania ambayo itarahisisha taratibu za utoaji wa hati, ukusanyaji wa maduhuli, kuimarisha ulinzi na usalama na kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ikiwemo mbuga za wanyama. Akizindua mpango huo Jijini Dar es salaam, Rais Magufuli amesema suala la uhamiaji ni nyeti na muhimu sana hasa kwa usalama wa nchi ambapo hapo awali hakukuwa na utaratibu makini wa kutoa hati za kusafiria, vibali vya ukaaji na ukusanyaji wa mapato kutoka maombi ya hati za kusafiria. Rais Magufuli ameishukuru Serikali ya Ireland kwa ufadhili wa Mradi huo ambao umegharimu Shilingi Bilioni 127 huku akiipatia Idara ya Uhamiaji nyumba 103 Mjini Dodoma pamoja na Shilingi Bilioni kumi kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mjini Dodoma ikiwa ni hatua ya serikali kuhamia Dodoma. Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock amesema nchi yake ina uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa mifumo ya kilektroniki hivyo itasaidia kutekeleza Mpango wa Hati ya Kusafiria ya Kielektroniki ya Tanzania. Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala amesema mpango huo utarahisisha kuhudumia wageni wengi wanapoingia kwa mkupuo, kudhibiti wahamiaji haramu na kuongeza mapato ambapo katika kipindi cha kutoka Julai hadi Desemba mwaka jana Idara ya Uhamiaji ilikuwa imekusanya Shilingi Bilioni 85 kutokana na maduhuli. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dokta Mwigulu Nchemba amesema utaratibu huo ni hatua muhimu katika mapambano dhidi ya uhalifu wa kimataifa pamoja na kuziba mianya ya kugushi hati za kusafiria kama ilivyokuwa hapo awali.

Sunday, December 31, 2017

KIPUNGUNI B LUTHERAN CHURCH SACCOS WAPANIA KULETA MAPINDUZI YA KILIMO KIDUGALO KATA YA KURUI KISARAWE

 Sezarius Kitingati,Remmy Magendo, Julius Ringo, Emmanuel Edwin Minja , mtendaji wa Kidugalo, Athuman Madenge
 Mchungaji Marko Mdumi, Huluka Amir Digosi,Genera, Mohamed Shaban Mwanga, Athuman Madenge

  Mwenyekiti wa Kidugalo Athuman Madenge pamoja na wasaidizi wake wakiwakaribisha wancahama wa SACCOS kIDUGALO kISARAWE. Wengine wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo na wengine juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.

 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakishauriana mambo  mbalimbali juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.
Wajumbe wakifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe, Mzee  Vicent Francis, Sezarius Kitingati, Dominick Ngandama, Mchungaji Marko Mdumi, Kefa Yusto Mwanri, Huluka Amir Digosi Msimamizi wa Mradi /mwakilishi wa wazee Kidugalo na wajumbe wa Serikali ya Kidugalo
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, Mama Anne Mazala, Eva Shoo, Irine Mkony, mama Rogathr Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe.
 Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Emmanuel Minja,meneja  Sezarius Kitingati na mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo wakiteta jambo mbela ya wanachama.
 Injinia Kitundu ,Goodluck Msoka na wanachama wengine wakikagua maeneo yao huko Kidugalo Kisarawe

 Monica MPANDA AKIKAGUA ENEO LAKE HUKO kIDUGALO
 Wanacha wetu mama Evelyne Kamugisha, Rahel Mbua, Monica Mpanda wakiwa kwenye mapumziko Kidugalo
  Meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati akitoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama Kefa Yusto Mwanri ,Anne Mazalla na wengineo
 Mama Anne Mazalla akiteta jambo na meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati

MKAKATI WA KUENDELEZA MAENEO YA ARDHI 
 MZEE MWIRU
 WAWEKEZAJI WAKIWA KIDUGALO
 MSOKA AKIVINJARI KIDUGALO
 KARIBU SERIKALI YA KIJIJI CHA KIDUGALO KISARAWE
 WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO

WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO

WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO

 Mzee Gilbert Ngandama , Goodluck Ringo na Agness Lukindo wakielekea kwenye mashamba yao
 Wajumbe wakisikiliza uongozi wa KIDUGALO kwa umakini

 Mtendaji wa Kijiji  cha Kidugalo akiwa anatoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama wa SACCOS ya Kipunguni B ambao wamewekeza kwenye kijiji hicho.
Heri ya Mwaka mpya

Tuesday, December 12, 2017

Makamu Mwenyekiti  wa  Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Ndugu Julius  Gilbert Ringo  akiwatambulisha wageni mbalimbali pamoja na vikundi kwa wanachama wa SACCOS na wageni mbalimbali waliohudhuria kwenye  mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017 viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B
Maafisa ushirika ndugu Ladislaus Mwanansao na Irine Ngowi toka ofisi ya Ushirika Manispaa ya Ilala wakiendesha Semina juu ya SACCOS, MIKOPO ENDELEVU pamoja na HAKI NA WAJIBU WA MWANACHAMA tarehe 09.12.2017
Ndugu Ladislaus Mwanansao pamoja na Irine Ngowi toka ofisi ya Ushirika Manispaa ya Ilala wakitoa maelekezo mbalimbali