Tuesday, November 20, 2012








Wakulima watakiwa kutumia tafiti

WAKULIMA mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kutumia tafiti mbalimbali za kilimo cha kahawa, ili kuharajkisha jitihada za kufufua zao hilo.

Rai hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI), Profesa James Teri, alipokuwa akizungumza na vikundi vya wakulima wa kahawa wa Wilaya ya Moshi Vijijini.

Profesa Teri alisema utafiti ni ghali lakini kama watu wanaamua kuwekeza ,utafiti  unalipa vizuri.

Aliwataka wakulima hao kutazama walikotoka na wanakokwenda katika shughuli zao.

Alisema TaCRI ambayo ilianzishwa mwaka 2000 kisheria, imetoa mchango mkubwa katika ufufuaji wa kahawa nchini.

 Alisema hata hivyo jitihada hizo zinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na baadhi ya wakulima kutofuata kanuni za kilimo bora na wengine kung,oa kahawa kwa madai kuwa bei yake haitabiliki.

Kuhusu usambazaji wa miche ya kahawa, Profesa Teri alisema TaCRI inawasaidia wakulima kwa kutoa miche ya kuanzisha bustani mama na kuwezesha vikundi mbalimbali mkoani humo.

Akizungumzia usambazaji wa miche hiyo, Mratibu wa Kilimo cha kahawa wilayani humo mViolet Kisanga, alisema kuna vikundi zaidi ya 62 vilivyowezeshwa kupata miche bora.

Kisanga alisema TaCRI imewasambazia wakulima, miche 114,288 iliyowawezesha kuanzisha bustani mama kwenye mashamba 26 yaliyoko kwenye vijiji vya wilaya hiyo.


 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika 

SERIKALI ya Uswisi imeitaka Tanzania kuwasilisha kwake majina ya watu wanaotuhumiwa kuficha mabilioni ya fedha nchini humo, kama sharti la kusaidia uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika amesema suala la kuwasilisha majina ya watuhumiwa ndilo sharti pekee ambalo Uswisi wametoa na kwamba ndiyo sababu Serikali imekuwa ikitaka wanaofahamu majina ya watuhumiwa hao wayataje.

Akizungumza jijini Mwanza jana, Mkuchika alisema ili kushughulikia suala hilo ipasavyo, Uswisi imeitaka Tanzania kuwasilisha majina ya vigogo wanaodaiwa kuficha fedha kwenye benki zake.

Alisema hayo baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Sita wa Muungano wa Taasisi za Kupambana na Rushwa za Afrika Mashariki unaofanyika jijini Mwanza kwa siku mbili kuanzia jana.

Kauli hiyo ya Mkuchika imekuja siku chache baada ya kuwapo kwa taarifa zinazodai kuwa Serikali ya Uswisi imetoa masharti kwa Tanzania kuwataja wahusika walioficha fedha nje kwa majina.

Mbali na masharti hayo, Tanzania imetakiwa kuithibitishia mamlaka ya Uswisi kuwa mabilioni hayo ya fedha yametokana na rushwa na nani aliyehonga, uhamishaji wa fedha hizo, jinsi ulivyofanyika ili Serikali ya Uswisi iweze kutoa ushirikiano kusaidia kuwatia hatiani watuhumiwa.

Hata hivyo, Waziri Mkuchika alisema Serikali ya Uswisi  kupitia benki zake, imetoa sharti moja tu kwa Tanzania katika kushughulikia suala hilo; kutaja majina ya watuhumiwa.

Ingawa Mkuchika hakutaja majina ya watu wanaopaswa kutaja majina ya vigogo hao, aliyewahi kujitokeza na kutoa tuhuma hizo ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

Zitto alitoa kauli hizo katika Bunge la Tisa wakati akiwakilisha hoja binafsi na kulitaka Bunge kuchunguza na kuieleza Serikali ili iweze kuchukua hatua dhidi ya Watanzania walioficha fedha nje ya nchi.

Waziri Mkuchika alisema kuwa tayari Serikali imeishatia mkono wake katika suala hilo kwa kuitaka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutafuta ukweli wa jambo hilo katika benki za Uswisi.

“Baada ya kumwagiza mwanasheria kufanya kazi hiyo alitekeleza na akapatiwa majibu ambayo walitoa sharti moja la kutajwa kwa majina ya vigogo hao ili waweze kuthibitisha kama watu hao walificha fedha hizo chafu katika benki zao,” alisema Mkuchika.

Alisema kuwa benki za Uswisi haziwezi kutaja  majina ya wateja wao walioweka fedha huko moja kwa moja kwa sababu ina wateja wengi raia wa Tanzania ambao wanahifadhi fedha zao huko.

Mkuchika alisema Serikali ya Tanzania imejijengea tabia ya kuwawajibisha wale wote wanaokiuka sheria za nchi na ndiyo maana katika kipindi hiki cha Awamu ya Nne sheria ya kupambana na rushwa ilijadiliwa bungeni na  baada ya kuonekana kuwa ina upungufu ikarekebishwa.

Alisema kuwa kutokana na kubadilishwa kwa sheria ya kupambana na rushwa, hivi sasa  hata mawaziri na makatibu wakuu wanawajibishwa na kuchukuliwa hatua za kisheria pindi wanapokuwa na makosa mbalimbali hivyo aliye na majina ajitokeze ili wahusika watiwe nguvuni.

Zitto anena

Hoja hiyo ya kutajwa kwa majina ya vigogo walioficha fedha Uswisi ilitokana na kauli ya Zitto hivi karibuni  bungeni  kuwalipua viongozi waandamizi wa Serikali hii wachunguzwe kutokana na makosa ya kuficha fedha nje ya nchi.

Alipotakiwa kuzungumzia kauli hiyo ya Waziri jana, Zitto alisema: “Bunge limeshaamua na kutoa maelekezo kwa Serikali kufanya uchunguzi kuhusu suala hilo, waziri asibwabwaje mitaani. Anapaswa kuwa ameanza kazi. Nimeahidi ushirikiano wangu wote.”

Aliendelea: “Nina mchunguzi aliyenisaidia kufanya uchunguzi ambao nitaukabidhi kwa Serikali. Sasa hilo siyo suala la Zitto tena, kama Waziri ana maoni ayatoe bungeni, hivi sasa ni kazi na taarifa. Waziri kusemea suala hilo nje ya bunge ni contempt of Parliament,” alisema.


Chadema kutoa mafunzo ya M4C Kagera

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kuzindua mafunzo ya operesheni ya vurguvugu la mabadiliko (M4C) yatakayoanza Novemba 22 mwaka huu hadi Novemba 23 katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. 

Mafunzo hayo yatatolewa kwa wenyeviti  na makatibu wa vyama hivyo ngazi ya wilaya hadi mkoa yenye lengo la kuleta uongozi bora na kueneza sera sahihi ya chama hicho.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni, Benson Kigaila alisema mafunzo hayo yamekuwa wakifanywa kwa wanachama wao ili kupata mbinu mbalimbali ya kudai haki na uwajibikaji wa viongozi na wananchi.
“Lengo la kutoa mafunzo kwa wenyeviti na makatibu wa vyama vyetu ni pamoja na kuwajengea uwezo wa uwajibikaji, kudai haki zao ili kuleta hamasa kwa Watanzania kushiriki kikamilifu kwenye mchakato wa mabadiliko, jambo ambalo linaweza kuwapa matumaini ya maisha,”alisema Kigaila.
Aliongeza kutokana na hali hiyo wanaamini kuwa, mabadiliko hayo yataweza kuleta uhuru wa kweli na kubadili mfumo wa kiutawala, jambo ambalo litaweza kuonyesha mafanikio.

Alisema kutokana na hali hiyo, jumla ya watu 64 watashiriki kwenye mafunzo hayo yakiwamo ya darasani na vitendo ili wajumbe hao waweze kusambaza elimu hiyo kwa wananchi katika vijiji na vitongoji,jambo ambalo litaweza kurahisisha ufanyikaji wa mikutano ya hadhara.Alisema mbali na mafunzo hayo, kutakuwa na mikutano ya hadhara itakayotoa mwongozo kwa viongozi hao kuonyesha uelewa wao katika mafunzo hayo, jambo ambalo wanaamini wanaweza kufanikiwa. 
Kwa mujibu wa Kigaila, Chadema inatarajia kufanya operesheni ya M4C katika mikoa 32 na kwamba operesheni hiyo itakuwa kubwa zaidi ikilinganishwa na zilizowahi kufanyika nchini kwa sababu tayari baadhi ya wajumbe watakuwa na elimu ya kutosha kuhusu zoezi hilo.

 


WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema wakati umefika kwa sasa hapa nchini elimu ya Sekondari iwe elimu bure na kumwondolea mwananchi wa kawaida mzigo wa kubeba gharama za elimu hiyo.
Lowassa akizungumza jana mjini Babati alisema, mjadala kuhusu elimu kutolewa bure hadi sekondari haukwepeki, hivyo kuwataka wadau wa elimu kuanza sasa kujadili suala hilo na kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapaswa kulifanya hilo kuwa moja ya ajenda zake katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Alisema elimu ya sekondari ikifanywa bure, itakuwa ni fursa kwa kila mtoto wa Kitanzania kuipata. Hatua ambayo itaongeza weledi na uelewa wa mambo mengi katika jamii.
“Ninasema sasa wakati umefika elimu ya sekondari kuwa kama elimu ya msingi kwa watoto kusoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne,” alisisitiza Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli (CCM).
Kwa kauli hiyo, Lowassa ni kama ameunga mkono Sera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao waliingia katika mgogoro na CCM kuhusu elimu kutolewa bure wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.
Chadema wamekuwa wakisisitiza kwamba elimu bure inawezekana hadi ngazi ya sekondari, lakini wakati wote CCM wamekuwa wakisema kuwa suala hilo haliwezekani na kwamba kauli za aina hiyo ni kuwahadaa wananchi.
Katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, aliyekuwa mgombea wa urais kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa alitumia sera ya elimu bure kuanzia chekechea hadi sekondari kama kete ya kusaka ushindi, huku akisema chama chake kingetenga asilimia 35 ya bajeti kwa ajili ya kuboresha elimu na kutoa elimu bure.
Hata hivyo, aliyekuwa mgombea wa CCM na baadaye kupata ushindi, Rais Rais Jakaya Kikwete alikuwa akiwatahadharisha wapigakura kuwa kwamba ahadi ya Chadema ni hewa na kwamba hilo lisingewezekana.
Mvutano huo uliwaingiza makada wengine ambao ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye wakati huo alikuwa Meneja Kampeni wa CCM na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta na kwa upande wa Chadema, Dk Kitila Mkumbo naye alijitokeza kutetea sera ya chama chake.
Katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Novemba 10, 2010 katika Kata ya Mchangimbore katika Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, Rais Kikwete alisema “Serikali haiwezi kutoa huduma za jamii bure” na kwamba lazima wananchi wachangie.
“Nimebahatika kukaa serikalini muda mrefu hiyo sera ya bure tulijaribu na ikatushinda na wakati huo Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, tulikaa naye tukaona hilo haliwezekani tukaamua tubadilishe sasa nawashangaa wenzetu wanawadanganya eti watatoa bure.”
Kwa upande wake Dk Slaa akiwa mjini Arusha katika moja ya mikutano yake alisema kwamba CCM walikuwa wakipinga sera ya elimu bure hadi sekondari kutokana na kulea ubadhirifu na kuthamini anasa kuliko maendeleo kwa wananchi.
Kauli ya Lowassa
Jana akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Usharika wa Babati, Lowassa alisema wakati umefika kwa kila Mtanzania kuzungumzia suala hilo bila ya woga.

Rais Kikwete aongoza mamia kuaga Makweta

     Mbowe  asema Makweta alikuwa msafi


 

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe, Jackson Makwetta.  Mwili wa marehemu Makwetta utasafirishwa kwa ndege leo saa 3:00 asubuhi kuelekea kijijini kwake Njombe, baada ya kuwasili wananchi watapewa fursa ya kuuaga tena.

Wakati wa kuuaga mwili huo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliitaka serikali kuchunguza miradi na mali za viongozi kulingana na kipato walichonacho.Alisema mali alizonazo Makwetta ni ndogo ukilinganisha na muda aliyokaa madarakani.
Mbowe alisema baadhi ya viongozi walioko madarakani hivi sasa, wana mali nyingi kuliko kipato chao jambo ambalo linaonyesha wazi ni mafisadi.

“Makwetta anaonyesha wazi kuwa siyo fisadi ikilinganishwa na mali alizokuwanazo, wakati baadhi ya viongozi wa sasa wana mali nyingi kuliko vipato vyao,” alisema Mbowe.
Alisema Makwetta amefanya kazi kwa miaka 35, lakini mali alizonazo ni ndogo, hivyo viongozi wa sasa wanapaswa kuiga mfano huo.

Naye Spika wa Bunge, Anna Makinda alisema marehemu Makweta aliwahi kuwa Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, pia alianzisha Mfuko wa Maendeleo Njombe ambao haujazinduliwa.
“Makwetta aliandaa mpango mkakati wa maendeleo wa Wananjombe ambao haujazinduliwa,” alisema Makinda.

Kwa upande wa Serikali mazishi hayo yataongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Uratibu na Sera), William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Siasa), Stephen Wassira na CCM itawakilishwa na Makamu mwenyekiti wake, Phillipo Mangula.

Marehemu Makwetta alifariki Jumamosi iliyopita kwa maradhi ya moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuhamishwa kutoka Hospitali Kuu ya Kijeshi Lugalo. Anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake, mkoani  Njombe.

Thursday, November 15, 2012


Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na washiriki wa wiki ya Wajasiriamali nchini iliyozinduliwa rasmi jana jijini Dar es Salaam itakayodumu kwa muda wa wiki nzima nchini.



 Chief Technical Advisor Youth Entrepreneurship Facility and WED -ILO Bw. Jealous Chirove akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Kimataifa ya Wajasiriamali uliofanyika jijini Dar es Salaam ambapo amesema vijana lazima wawe na moyo wa kujituma na kuhakikisha wanapanua wigo wa kujiajiri wenyewe na kuondokana na fikra za kuajiriwa peke yake.Aliongeza kuwa ujasiriamali katika nchini kama Tanzania ni mkombozi wa pekee katika tatizo la ajira hasa kwa vijana kwa kujiendeleza na mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali kama njia pekee ya kujiajiri


Mwenyekiti wa CCM Mhe.Dk. Jakaya Kikwete akipongezwa na viongozi mbalimbali kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchanguzi wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mkoani Dodoma

Saturday, August 18, 2012

Kijiji cha Samunge LOLIONDO ,juzi juzi tu Mabatini huko Mbeya na sasa Tabora kesho je????????? Huko nako viongozi wataenda kama walivyokwenda kwa babu????????

EDITOR OBAMA............ Mr. President anafanya masahihisho kabla ya kuisoma hadharani hotuba do you see this????? how about our africa president's????????



Michelle Obama akionyesha vitu vyake uwanjani

Mheshimiwa John Magufuli kulia akisalimiana na Mheshimiwa Shukuru Kawambwa''GOOD MORNING........I LIKE WHEN U WAKE UP IN THE MORNING BY SMILING AND YOU WILL SEE. TRY THIS JUST SMILE TO EVERYONE WHOM YOU SEE IN FRONT OF YOU SIMPLY EXPERIMENT..........


"GIVE GOD CHANCE IN YOUR PATH AND YOU WILL SEE"February 14, 2011
 Taifa lililopata UHURU zaidi ya miaka 200 iliyopita kama walivyokutwa ktk chumba maarufu ndani ya IKULU ya Marekani,OVAL wakishusha sala kabla ya Mazungumzo yao na chumba mara nyingi hutumia Rais wa Nchi hiyo OBAMA akiwa ktk mazungumzo na viongozi wa nchi mbalimbali.Wanamtanguliza Mungu wewe je ? Jiulize ulipoamka leo umemshukuru Mungu kukulinda usiku??? Neno waliloweka ktk DOLA yao namaanisha pesa ya Marekani "IN GOD WE TRUST". Kwa kweli kwanini Taifa kama hili lisizidi kuwa na Nguvu duniani ?????

 
Mkutano wa Pili wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza hii leo Mjini DODOMA ambapo hoja mbili kati ya SABA zilizotegemea kuwasilishwa hazitawasilishwa..............Hoja ambazo hazitawasilishwa ni ni DOWANS na mabadiliko ya KATIBA..........February 8, 2011


 
 ROYAL SNUB: Prince William Will Not Invite The Obamas To His Wedding
Familia ya Obama haitaalikwa katika harusa ya Prince Willie kutokana na sababu moja wapo ni kutomwinamia Malkia Elizabeth na badala yake kumwinamia Mfalme wa Nchi za falme za kiarabu Mfalme Abdallah............ na badala yake kumwalika mpenzi wake wa zamani Kate Middleton lakini wao wametumia maneno makali ambayo kwa tafsiri ya kiswahili na kamusi yangu ndogo ngoja ninukuu kutoka kwenye gazeti moja wapo nililosoma la uin
gereza......December 22, 2010

The prince prefers to hold the first ever “People’s wedding” and invite common folk like his fiancée, Kate Middleton.






JAMANI KITI HICHO KINAGOMBEWA
 Mpaka sasa CCM imepitisha majina 3 ya kugombea nafasi ya Uspika kati ya 13 waliochukua fomu ambao ni ANNA MAKINDA,ANNA ABDALLAH na KATE KAMBA leo majira ya saa4 asubuhi kamati kuu ya CCM watakaa na kupitisha jina mmoja huku CHADEMA wakipitisha jina mmoja la MABERE NYAUCHO MARANDO kazi ipo kweli kweli...November 10, 2010

 
I wish 1 day our President could use this way to discuss with his citizen''July 11''
































Thursday, August 16, 2012



  One of the World's most awesome writers...
















 



KING LOBENGULA KHUMALO THE FLY OF ZIMBABWE, KING OF MATABELE, THE SECOND AND LAST SOUTH AFRICAN NDEBELE KING WHOM THE BRITISH USED HIS AFFECTION FOR CHRISTIANITY TO DESTROY HIS EMPIRE AND STEAL HIS GOLD AND DIAMONDS


"The chameleon gets behind the fly, remains motionless for some time, then he advances very slowly and gently, first putting forward one leg and then another.


 




 












 


 Is This The Democrazy,Oh Sorry Democracy Our Ancestors Warned us about?








 

 "We have come to reclaim the house of history. We are dedicated to the revision of the role of the African in the world's great civilizations, the contribution of Africa to the achievement of man in the arts and sciences. We shall emphasize what Africa has given to the world, not what it has lost."--Ivan Van Sertima





 











 


 " NATO is fighting for its survival as an Atlantic regional military organization after the end of the Cold War. Fortunately, the US, commanded by the Zionists and NeoCons have been creating the new jobs for NATO!

But in this process this US-Led western civilization regimes forces are killing millions of innocent people including old men, women, children and babies in Iraq, Afghanistan, Libya and
Afghan-Pakistani border.
These countries are outside the NATO areas.

US GENERAL SAYS: THE ENEMY HAS CHANGED FROM RED TO GREEN

On the breakup of USSR, a US general was questioned by a journalist of any further utility of NATO. The general was sharp to reply, The enemy has changed from red to green, and hence NATO will stay. NATO was created to counter Warsaw pact countries that had a decisive strength to overrun Europe thus all the countries of the Western Europe and America were brought together in this alliance on both sides of Atlantic.

NATO as per its charter had no justification to be outside of Europe but it was brought to Afghanistan, Iraq, Pakistan and Libya (the next could be Syria or Iran) to further the aims of Zionist dominated West that gets its legal cover for any military adventurism from the Security Council of the UN.



 

 So much respect, Dr. King a real pioneer and Leader!!! Honor and appreciation for your wisdom and knowledge. You spoke the truth no matter...



 

 Marcus Mosiah Garvey.

"Rise up Black Men, and take your stand. Reach up black men and women and pull all nature’s knowledge to you. Turn ye around and make a conquest of everything North and South, East and West. And then we you have wrought well, you will have merited God's blessing, you will become God's chosen people and naturally you'll become leaders of the world."-MARCUS GARVEY

 


 

Are we still slaves in educated slaves and dumb as hell. We will always be slaves if we don't wake the hell up.Our race is so lost in the material things that we forgot how our grandparents, great great parents fought for us to be able to live the way we do today n it sadden me how the new generation is just wasting it away over stupidity.



 "African Wisdom For Every Day."


"Life was good. People grew old with the time and never before time. They slept well and enjoyed themselves. They did not have to rush. They took time to enjoy everything. No one hurried. Life was there, before them, rich and generous. They had a philosophy that allowed them to live like that." 


Shown here: H.I.M. Haile Selassie I & President Jomo Kenyatta of Kenya

 "We must be ever mindful that our greatest weapon is the ONENESS which we share as Afrikans. But it is not enough to be Afrikans. That which pulls us apart and divides us must be pursued relentlessly and inexorably. We must expand yet further communications among the Afrikan nations, we must come to know one another better. We must increase student exchanges and visits to one another's countries. Our GREATEST ASSET is our UNITY, and we MUST exploit it to the fullest."Emperor Haile Selassie I




























Wednesday, August 15, 2012

 
 MAFANIKIO WAKATI WOTE  YANALETA TABASAMU 

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/08/Wenje.jpg



Mbunge wa Nyamagana Mwanza kwa tiketi ya Chadema na wananchi wa jimbo lake Ezekiah Wenje amewataka wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuacha unafiki na badala yake waitishe mjadala wa kitaifa kuhusu lugha maalum ya kufundishia kwa shule za msingi.Alisema “Lugha kwenye primary school ni Kiingereza au kiswahili? mimi nawachallenge acheni unafiki, kama ni Kiswahili iwe Kiswahili kwenye primary School kama ni Kiingereza basi na hizo





Mshindi wa Tusker Project Fame 2012 Mkenya Ruth Matete kwa mara ya kwanza ameongea kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM na kutaja mabadiliko yaliyotokea kwenye maisha yake kutokana na milioni 5 za kenya alizokabidhiwa kama sehemu ya zawadi.
Ruth amesema kwanza sasa hivi hapandi daladala maarufu kama matatu, pia anatembea na mlinzi kila mahali atakapokwenda.. anafanya kama wanavyofanya mastaa wengine wakubwa wa dunia, hiyo ni kutokana na ulinzi wake binafsi baada ya kupata huo umaarufu kupitia Tusker Project fame.










 http://a3.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/536636_185800178212810_673451109_n.jpg






 











Matatu ambazo zamani Ruth alikua amezoea kuzipanda sana lakini toka ameshinda TPF imebidi aache kutokana na ustaa.Amesema sasa hivi hawezi kununua vifaa vya muziki kutokana na hizo pesa kwa sababu hajui kupiga chombo chochote cha muziki lakini anaweza kuziwekeza kwenye sehemu nyingine japo hajajua ni nini atakachofanya.




STORI ZILIZOCHOMOZA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU, MICHEZO NA HARDNEWS KATIKA MAGAZETI YA LEO AUG 15, KAJALA, ANAPOISHI DR ULIMBOKA NA MENGINE

 























 

Katibu wa Tume hiyo Bw. Assaa Rashid
 
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa Tume hiyo imeweka ukomo wa idadi ya wananchi wanaotoa maoni katika mikutano yake inayoendelea katika mikoa minane na kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi katika mikutano inayoitishwa na Tume na kutoa maoni yao kwa uhuru na uwazi.Katibu wa Tume hiyo Bw. Assaa Rashid (pichani)amesema leo (Jumapili, Julai 8, 2012) kuwa Tume ingependa kupata maoni ya kila mwananchi na hivyo haiwezi kuweka ukomo kwa wananchi kutoa maoni katika mikutano inayoiitisha.Ufafanuzi wa Tume hiyo unafuatia taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari zikinukuu baadhi ya wananchi wakilalamika kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeweka kikomo cha idadi ya maswali na watu wanaotakiwa kutoa maoni yao katika mikutano ya kukusanya maoni ya wananchi.

Taarifa hizo ziliongeza kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba imekuwa ikitoa nafasi kumi tu kwa wananchi wanaopaswa kuuliza maswali yasiyozidi kumi katika mkutano mmoja na kwamba, katika baadhi ya Wilaya, ikiwemo Biharamulo yenye Kata 15, ni Kata sita tu ndizo zilizofikiwa na Tume.

“Katika baadhi ya Wilaya, kama Kusini Unguja na Bahi mkoni Dodoma, Tume imelazimika kuongeza muda wa kupokea maoni ya wananchi na wakati mwingine kuongeza idadi ya mikutano hadi kufikia mitatu badala ya miwili kwa siku. Hatua hizi zinalenga kutoa fursa zaidi kwa wananchi kutoa maoni yao,” amesema Bw. Assaa katika taarifa yake kwa vyombo habari.

Kuhusu mikutano iliyofanyika wilayani Biharamulo, Bw. Assaa amesema Tume ilipanga na imefanya mikutano sita kuanzia terehe 2 hadi 4 Julai, 2012 na jumla ya wananchi 267 walitoa maoni yao kwa mdomo na wananchi wengine 265 walitoa maoni yao kwa maandishi.

Kwa mujibu wa katibu huyo, vituo ambavyo mikutano hiyo ilifanyika ni Kelenge, Movata, Nyamigogo, Runazi, Nyakanazi na Biharamulo Mjini.

“Katika mikutano hiyo na mikutano mingine yote Tume haikuweka na haitaweka ukomo wa idadi ya wananchi wanaopaswa kutoa maoni,” amefafanua Bw. Assaa na kuongeza kuwa Tume inatambua kuwa wananchi wana shauku kubwa ya kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya.

Hata hivyo, Katibu huyo alisema kuwa ingawa Tume ingependa kumfikia kila mmoja mahali alipo, jiografia ya nchi na muda ambao Tume imepewa, jambo hilo halitawezekana na kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi katika maeneo ambayo Tume itafanya mikutano kama ratiba iliyotolewa inavyoelekeza.

Akifafanua kuhusu malalamiko kuwa baadhi ya Kata hazitafikiwa na Tume, Bw. Assaa amesema Tume haikupanga ratiba ya mikutano ya kukusanya maoni haikupangwa kwa kuzingatia Kata, bali imepangwa kwa kuzingatia eneo ambalo linaweza kujumuisha wananchi kutoka zaidi ya Kata moja.

Pamoja na kutoa maoni yao kupitia mikutano, Tume pia imewaomba wananchi kuendelea kutumia fursa nyingine kuwasilisha maoniyao kama tovuti ya Tume (www.katiba.go.tz), barua pepe (maoni@katiba.go.tz) au kwa njia ya posta kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba, S.L.P. 1681, Dar es Salaam na S.L.P. 2775, Zanzibar.

Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kufanya awamu ya kwanza ya mikutano ya kukusanya maoni ya wananchi katika mikoa minane tarehe 2 Julai mwaka huu na inatarajiwa kumalizika tarehe 30 mwezi huu. Mikoa hiyo ni Dodoma, Kagera, Kusini Pemba, Kusini Unguja, Manyara, Pwani, Shinyanga na Tanga.
 


Jumatano, Julai 11, 2012: Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma kabla ya kuanza kwa mkutano kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu Joseph Warioba

 

Wananchi wa kijiji cha Mloka, Kata ya Mwaseni wilayani Rufiji, mkoani Pwani wakimsikiliza Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu katika mkutano wa kukusanya maoni yao kuhusu Katiba Mpya.

 
Prof. Mwesiga Baregu 

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu akizungumza na wananchi wa Kata ya Mwaseni wilayani Rufiji mkoani Pwani katika mkutano wa kukusanya maoni yao kuhusu katiba Mpya. Wengine ni wajumbe wa Tume hiyo Bw. Ally Saleh, Bi. Fatma Said Ally na Bi. Al Shaymaa Kweygir.





Nawasilisha...Julai 4, 2012: Mkazi wa Kata Kiegeani, Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani akiwasilisha maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayokusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.
 
Prof. Mwesiga Baregu na Bi. Fatma S.A. Mchumo ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Pwani, Bi. Sauda Salum Mtondoo
 
Salaam Kwanza ... Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu na Bi. Fatma S.A. Mchumo ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Pwani, Bi. Sauda Salum Mtondoo kabla ya kuanza kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba..



Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi akitoa maelezo kwa wananchi wa Kijiji cha Mtende, Wilaya ya Kusini Unguja waliofika kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika katika shule ya Mtende. Picha: Othman Maulid.

 
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza katika mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo ulifanyika katika viwanja vya Mtende, Wilaya ya Kusini Unguja. Picha: Othman Maulid.
 
Bw. Duli Ali Duli, mkazi wa Kijiji cha Mzuri, Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja, akitoa maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyofika kijijii hapo kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba Mpya. Picha: Othman Maulid.
 
Bi. Aziza Mcha, mkazi wa Kijiji cha Mtende, Wilaya ya Kusini Unguja akikabidhi karatasi yenye maoni yake kwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Mohammed Yussuf Mshamba katika mkutano uliofanyika katika shule ya Mtende. Picha: Othman Maulid.


 
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano kati ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba na waandishi wa habari katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Zanzibar leo
 
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Zanzibar leo

 
Baadhi ya Wajumbe wakifuatilia mkutano kati ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Warioba na Wanahabari Ukumbi wa Karimjee
 
 
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, Katibu wa Tume Assaa Rashid (kushoto kewa Mwenyekiti) na Dkt. Salim Ahmed Salim, Mjumbe wa Tume katika mkutano Ukumbi wa Karimjee sasa hivi
 

 Wanahabari wakifuatilia mkutano na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Warioba, Ukumbi wa Karimjee sasa hivi


Waziri wa Katiba na Sheria Matt Chikawe na Mkurugenzi wa Mashtaka Dkt. Eliezer Feleshi nje ya Ofisi za Wizara leo wakati Matt alipowasili kuanza kazi baada ya kula kiapo jana. Kati ni Katibu Mkuu Fanuel Mbonde.

Waziri Mteule wa Katiba na Sheria Matt Chikawe (shoto) akiteta na Jaji Kiongozi Fakhihi Jundu muda mfupi kabla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri leo, Ikulu, Dar.
 Naibu Waziri Katiba na Sheria Angela Kairuki akichat na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu, Dar, leo mara baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri.

 
 
Waziri wa Katiba na Sheria (WKS) mteule Matt Chikawe (shoto); WKS anayeondoka Celina Kombani (kati) na NWKS Angela Kairuki katika kumbukumbu baada ya kula kiapo leo Ikulu, Dar es Salaam.


Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti Jaji Warioba (mbele katikati) pamoja na wadau wengine baada ya Tume kukabidhiwa Ofisi, Mtaa wa Ohio, Dar es Salaam leo. Kulia kwa Jaji Warioba ni Waziri Kombani na kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria ZNZ Abubakari Khamis Bakari. Wengine ni Makatibu Wakuu Viongozi Balozi O. Sefue (SJMT) na Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (SMZ); AG Jaji Fredrick Werema na Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala...imesheheni....
  at Ohio Street, Dar es Salaam, Tanzania.







Joy of being a mother -- Mrs. Prisca Chikawe (85) shares a piece of cake over the weekend in Dar es Salaam with his son Rev. Fr. Hugh Chikawe (67) from St. Peter Clever Catholic church in Florida, USA who celebrated his 40 years in priestehood. Looking on is his brother Mathias Chikawe, Minister of State in the President's (Good Governance) and his wife, Prof. Amandinda Lihamba.




 


Ipo sawa kijana... sio Mkataba feki
 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Oliver Mhaiki (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Walemavu Tanzania (SWAUTA) Bi. Modesta Mpelembwa sehemu ya nakala 1,500 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 zenye thamani ya Tshs 32 milioni zilizoandikwa katika maandishi ya nukta nundu ili kuwawezesha walemavu wasioona kuisoma Katiba hiyo leo Wizarani.










Mhe. JK akimjulia hali Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari, Marehemu Danny Mwakiteleko MOI







Danny (kulia) na Wanahabari Wengine, Kibanda, Kulangwa na Kwayu...
 Mahakama ya Mwanzo ya Kisasa Msoga-Lugoba



Mahakama ya Mwanzo Kilolo - Iringa









Wahe. Werema na Sisco nje ya Ofisi ya AG Dar







Jimbo linatunzwa kama mtoto umleavyo.Kicheko cha Msaada wa Mabati Nachingwea kutoka kwa mheshimiwa Chikawe










Utunzaji wa Nyaraka ni muhimu sana.Wadau waperuzi files za 1968!Upo hapo. Hapo ilikuwa April 1, 2011.inabidi waanze kuhifadhi hizo files in software maana hyo inakuwa soo kutafuta record
 
 March 31, 2011: CJ Othman listen to Consultant Kenan Cassady at High Court, Dar es Salaam during 'impromptu' visit to inspect ongoing reforms in Judicial Filing System. Others, Justice Ministry PS Oliver Mhaiki, Principal Judge Jundu and Judge kaijage from Dar Zone.
 
 Jamani tunapaswa kuyaelewa vyema maonyo au alerts za majanga kama hili la Tsunami jana kama kuondoka pwani mapemaa, au ikibidi kwa miguu badala ya kuganda kwenye foleni namna hii, kwani badala ya kuyaepuka,tutajikuta kuwa tunajiweka kwenye mkondo wa bahari na kumezwa kirahisi
 


 


Kumekuchaa. Mkurugenzi Mkuu SSRA Bi Irene Isaka na wenzake  wakitafakari kwa kina kuhusu  fao la kujitoa.!Hongera Mbunge wa Kisarawe kwa hoja binafsi iliyosababisha Waziri Kabaka kuchomoa uozo ule.Mambo sasa yatakuwa mswano.

 


Nape Mnauye (Katibu Mwenezi wa CCM akiwasalimu waheshimiwa  Waziri mkuu aliyejiuzulu Mhe. Edward Ngoyai Lowasa na Mhe. Fredrick T. Sumaye kwenye kikao cha November 23, 2011 kwenye yale mambo ya kuvua gamba.Unakumbuka.


 



Mpiganaji Mroki ktk utekelezaji wa Majukumu. Tulikopitia.



Hillary Rodham Clinton 
 
WASHINGTON (AP) — If diplomatic achievements were measured by the number of countries visited, Hillary Rodham Clinton would be the most accomplished secretary of state in history.
While historians will debate and eventually rate her tenure as America's top diplomat, Clinton is already assured of a place in the State Department record book.
When her plane touched down at Andrews Air Force Base outside Washington early Tuesday morning, the former first lady completed an epic 13-day journey of 27,000 miles — about 2,000 miles more than the circumference of the Earth — through and over Europe to Asia and then doubling back to the Middle East.
One well-traveled Clinton staffer described the France-Afghanistan-Japan-Mongolia-Vietnam-Laos-Cambodia-Egypt-Israel itinerary as "especially absurd, even for us."
Despite the mind- and body-numbing time zone hopping, Clinton joked that she was ready for more.
"I appreciate being here, I am only sorry that I have to leave," she told reporters on her last stop Monday, in Israel.
"My traveling team is anxious to get home. I'd like to be hanging out in Jerusalem, but, you know, I have to do my duty," she said with a sigh.
Since becoming secretary of state in 2009, Clinton has logged 351 days on the road, traveled to 102 countries and flown a whopping 843,839 miles, according to the State Department. While some previous secretaries may have flown more miles — mainly due to shuttling back and forth to the Mideast on peace missions — none has visited more nations.
Clinton broke that record last month, eclipsing Madeleine Albright's total of 98, when she traveled to Finland for number 99 and then hit the 100 mark in Latvia.
Not content, she tacked on another two countries — Mongolia and Laos, where she was the first secretary of state to visit in 57 years and only the second ever — on her latest trip. And she has another six months to go before she reaches her self-imposed deadline to step down and take a breather.
Even with a bed on the plane and her uncanny ability to sleep mid-flight, the grueling schedule can take its toll.
Clinton suffered a rare coughing fit as she finished a speech before the U.S. Chamber of Commerce in Hanoi.
And while she insisted that she would have preferred to stay all day as birds sang in Kabul's presidential place, she rushed away when Afghan President Hamid Karzai suggested taking additional questions.
Arriving in Egypt this weekend after a flight from Cambodia, Clinton and her staff literally didn't know what time it was.
BlackBerrys automatically reset their times to what should have been Cairo time, except it wasn't, so the staff set their clocks to Sarajevo time. Several hours later, the reason for the discrepancy was discovered: Egypt opted out of daylight saving time this year.
Clinton tells anyone who asks that she won't be staying on if President Barack Obama wins a second term — not surprising, given that only one secretary of state has served more than four years since the 1970s. And after a bruising fight with Obama for the 2008 Democratic presidential nomination, she likes to say she won't be returning to the political stage.
But with her popularity at an all-time high and the Democrats in likely need of a 2016 candidate regardless of whether Obama is reelected, there is widespread speculation that she would find a second stab at becoming first female president irresistible.
First, though, she'll need a nap.



Humu duniani haki hakuna na maisha anayoishi mtu mmoja kwenda mwingine ni kama vile vidole visivyolingana...!!!








JAMANI NIPENI KURA ZENU NAMI NAAHIDI KUWAPA KULA NIKITINGA MJENGONI....!!!

 
 
Mwanzoni penzi huwa tamu kama aples but mwishoni huwa chungu km shubili so ye2 macho
 
 Duh kumbe pazuri kiivyo i heard kuwa rwanda ni nzuri hutafikiri hawakupigana vita.
 
Kaole kilio,alianzd mzee pwagu akaja mzee kipara sasa kanumba,mmh msiba jaman kama vile bdo utani!
 

Steven Kanumba alikuwa mtu wa watu. Alikuwa ni nyota ya Filamu TZ na nje Nchi
 
 MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI BRO KANUMBA.....UMETUACHA WAKATI TUKIKUHITAJI ZAIDI

 My condolence to u ladies n gentlemen,just remember he's done living so watch over ur backs,coz nobody knows when oùr journey endz.. N where does da new one begins!! Farewell.April 7 2012
 
 WANAMAPINDUZI MSIBABAISHWE NA WATU WASIOJUA THAMANI YAO NA MCHANGO WAO KATIKA TAIFA LAO.BEI YAO NI RAHISI NI UGALI NA NYAMA CHOMA,BIA,KOFIA NA FULANA KISHA WANAUZA UTU WAO.WANAPINDUZI SIMANENI KIDETE PIGENI KURA,LINDENI KURA MPAKA UKOMBOZI KAMILI DHIDI YA MAFISADI
 HABARI ZISIZO RASMI ZINASEMA KWAMBA....
Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na kasema atalipa hizo gharama za kesi. Aprili 5 2012
 
 
Tukikitumia vyema kikosi hiki kitatufikisha kwenye nchi ile inayotiririka asali na maziwa
 
 Viongozi mkiwa na umoja na tukiendelea na speed hii 2015 asilima 98  mnaweza kushinda,chamsingi ni muhimu kwenda vijijini kuwaelimisha wananchi kwani saivi mijini na uhakika hakuna tabu!Haya?
 
 
Kulia unayemwona ni Diamond Maige akimtoa pepo mtoto wa kike wakati akitoka kanisani KWA MWINGIRA-MWENGE. Februari 26 2012


THE MOST IMPORTANT PERSON........
..... on earth is a mother.
She can not claim the honor of having built a great cathedral or a basilica, she can not! But she has built something more magnificent than a cathedral - a dwelling for an immortal soul, the tiny perfection of her baby's body....
The angels have not been blessed with such a grace. They cannot share in God's creative miracle to bring new saints to heaven, only a human mother can!!
Mothers are closer to God the creator than any other human creature. God joins forces with mothers in performing this act of creation....
WHAT ON EARTH IS MORE GLORIOUS THAN THIS...... To Be a Mother, ... and to have a mother!!
HAPPY MOTHERS' DAY!!














HATUTA ACHA UTAMADUNI WETU KAMWE