RAIS JAKAYA KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza
na waandishi wa habari wapo picha juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu
dola za Marekani bilioni 10 na kukamilika kati ya miaka mitano hadi saba
ijayo. kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CMHI ambaye pia ni Makamu wa
Rais Mtendaji wa kampuni ya China Merchant Group Dk Hu Jianhua.kikao
hichi kimefanyika leo jijini Dar es SalaamWaziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Mkurugenzi Mtendaji wa CMHI ambaye pia ni Makamu wa
Rais Mtendaji wa kampuni ya China Merchant Group Dk Hu Jianhua. na wajumbe wengine mara baada kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaamjuu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati
No comments:
Post a Comment