KIPUNGUNI B LUTHERAN CHURCH SACCOS WAPANIA KULETA MAPINDUZI YA KILIMO KIDUGALO KATA YA KURUI KISARAWE
Sezarius Kitingati,Remmy Magendo, Julius Ringo, Emmanuel Edwin Minja , mtendaji wa Kidugalo, Athuman Madenge
Mchungaji Marko Mdumi, Huluka Amir Digosi,Genera, Mohamed Shaban Mwanga, Athuman Madenge
Mwenyekiti wa Kidugalo Athuman Madenge pamoja na wasaidizi wake wakiwakaribisha wancahama wa SACCOS kIDUGALO kISARAWE. Wengine wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo, Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo na wengine juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo, Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakishauriana mambo mbalimbali juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.
Wajumbe wakifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe, Mzee Vicent Francis, Sezarius Kitingati, Dominick Ngandama, Mchungaji Marko Mdumi, Kefa Yusto Mwanri, Huluka Amir Digosi Msimamizi wa Mradi /mwakilishi wa wazee Kidugalo na wajumbe wa Serikali ya Kidugalo
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, Mama Anne Mazala, Eva Shoo, Irine Mkony, mama Rogathr Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe.
Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Emmanuel Minja,meneja Sezarius Kitingati na mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo wakiteta jambo mbela ya wanachama.
Injinia Kitundu ,Goodluck Msoka na wanachama wengine wakikagua maeneo yao huko Kidugalo Kisarawe
Monica MPANDA AKIKAGUA ENEO LAKE HUKO kIDUGALO
Wanacha wetu mama Evelyne Kamugisha, Rahel Mbua, Monica Mpanda wakiwa kwenye mapumziko Kidugalo
Meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati akitoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama Kefa Yusto Mwanri ,Anne Mazalla na wengineo
Mama Anne Mazalla akiteta jambo na meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati
Sunday, December 31, 2017
MKAKATI WA KUENDELEZA MAENEO YA ARDHI
MZEE MWIRU
WAWEKEZAJI WAKIWA KIDUGALO
MSOKA AKIVINJARI KIDUGALO
KARIBU SERIKALI YA KIJIJI CHA KIDUGALO KISARAWE
WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO
Mzee Gilbert Ngandama , Goodluck Ringo na Agness Lukindo wakielekea kwenye mashamba yao
Wajumbe wakisikiliza uongozi wa KIDUGALO kwa umakini
Mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo akiwa anatoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama wa SACCOS ya Kipunguni B ambao wamewekeza kwenye kijiji hicho.
Heri ya Mwaka mpya

Tuesday, December 12, 2017
Makamu Mwenyekiti wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Ndugu Julius Gilbert Ringo akiwatambulisha wageni mbalimbali pamoja na vikundi kwa wanachama wa SACCOS na wageni mbalimbali waliohudhuria kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017 viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B
Mchungaji Goodluck Mmari wa KKKT Usharika wa Kipunguni B , Mchungaji Fredrick Humprey Minja wa KKKT usharika wa Numeut Bomangombe Moshi Kilimanjaro, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Markaz Ukonga Dar es Salaam Bi Tamasha Mohamed na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mazizini Ukonga Dar es Salaam Bwana Musa Komba pamoja na Diwani wa Kata ya Ukonga Ndugu Zuberi Mwipopo wakifuatilia kwa umakini mkutano mkuu wa Mwaka wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS - KBLC SACCOS
Mchungaji Goodluck Mmari akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
Alisoma Neno la Mungu toka Mathayo 25:14-30 juu ya talanta zilizowekwa kwa watu ili wazizalishe
15 Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri. 16 Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. 17 Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
Alisisitiza juu ya wanachama kutumia vizuri mikopo wanayopewa. Aliwataka wasifukie talanta hizo ila wazazizalishe ili zipate faida kwa ajili ya Ustawi wa wanachama wa saccos kwa ujumla. Pia aliwataka wanachama kuwa na bidii katika kazi, wamke asubuhi na mapema wakazalishe. Apendaye sana usingizi

Saturday, October 21, 2017
UTANGULIZI
Jina la kitaalamu ni Zingiber officinale. Tangawizi ni aina ya zao la kiungo ambalo sehemu inayotumika ni tunguu (rhizome) ambalo huonekana kama mizizi ya mmea. Asili
ya zao hili ni maeneo ya kitropiki ya bara la Asia na hasa katika nchi
za India na China. Zao hili linazalishwa kwa wingi kutoka katika nchi ya
Jamaica. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Kigoma, Tanga,
Morogoro, Pwani, Mbeya na Kilimanjaro.
Tangawizi
hutumika kama kiungo katika kuongeza ladha, harufu na kuchangamsha
katika vinywaji (kama soda, juisi, vilevi n.k) na vyakula mbalimbali
kama mikate, biskuti, keki, nyama za kusaga, achali n.k. Hutumika pia
katika viwanda vinavyotengeneza madawa ya tiba mbalimbali kama dawa za
meno, kikohozi, tumbo na muwasho wa ngozi n.k. pia hutumika katika
vipodozi kama poda n.k).
AINA ZA TANGAWIZI
Hakuna
uthibitisho wa aina za tangawizi ambazo hulimwa hapa nchini ila kuna
dalili ya kuwa na aina za White Africa (Jamaica) na Cochin (flint); hii
huwa na tunguu ngumu zenye nyuzi.
TABIA YA MMEA
Tangawizi
ni mmea unaotambaa chini ya ardhi, wakati wa masika hutoa majani juu ya
ardhi. Jamaica ina rangi hafifu ya kahawia na tunguu fupi wakati Cochin
ina tunguu fupi zaidi lenye ngozi ya rangi iliyo kati ya kijivu na
nyekundu. Mmea una urefu wa futi mbili na majani yake ni membamba marefu
ambayo hufa kila mwaka yakiacha tunguu ardhini likiwa hai. Maua ya mmea
huu yana rangi nyeupe au manjano.
HALI YA HEWA NA UDONGO
Zao
hili hustawi katika maeneo yenye hali ya kitropiki, kutoka usawa wa
bahari hadi mwinuko wa mita 1,500 au zaidi. Huhitaji mvua kiasi cha
mm.1,200-1,800 na joto la wastani wa nyuzi za sentigredi 20-25. Hustawi
vema katika udongo tifutifu wenye rutuba na usiotuamisha maji.
UPANDAJI
Zao
la tangawizi hupandwa kwa kutumia vipande vya tunguu vyenye kichipukizi
kizuri angalau kimoja na huweza kukatwa katika urefu wa sm.2.5-5.
Wakati mwingine, vichipukizi vinavyopatikana katika kumenya tangawizi
huweza kuhifadhiwa na kutumika kwa kupanda. Kiasi cha kilo 840-1700 cha
vipande vya tunguu huweza kutumika kwa kupanda katika hekta moja.
Nafasi
inayotumika kupanda ni kati ya sentimita.23-30 kwa 15-23 na kina cha
sentimita.5-10 na mara nyingi hupandwa katika matuta. Baadhi ya mazao
huweza kupandwa katika shamba la tangawizi ili kuweka kivuli chepesi
ingawa si lazima kivuli kiwepo. Inashauriwa kumwagilia maji endapo mvua
inakosekana.
Shamba la tangawizi |
Wiki
1-2 kabla ya kupanda weka mbolea ya samadi au mboji kiasi cha tani
25-30 kwa hekta na kwa kukuzia weka kiasi cha NPK kwa uwiano wa kilo
36:36:80. Tandaza nyasi shambani kuhifadhi unyevunyevu hasa pale kivuli
kinapokosekana.
Palizi hufanywa mara magugu yanapoota, dawa ya kuua magugu, kama simazine hutumika.
MAGONJWA NA WADUDU
- Madoa ya majani yanayosababishwa na viini vya magonjwa viitwavyo Colletotrichum zingiberis na Phyllosticta zingiberi.
- Kuoza kwa tunguu; kunasababishwa na viini viitwavyo Pithium spp
- Mizizi fundo; inasababishwa na Meloidegyne spp.
UVUNAJI
Tangawizi
huweza kuwa tayari kwa kuvuna kati ya miezi 9-10 baada ya kupanda,
wakati majani yake yanapogeuka rangi kuwa njano na mashina kusinyaa.
Tangawizi inayohitajika kwa kuhifadhi kwenye kemikali (preserved ginger
in brine) huvunwa kabla haijakomaa kabisa, wakati ile iliyokomaa kabisa
huwa kali zaidi na huwa na nyuzi hivyo hufaa kwa kukausha na kusaga.
Mavuno hutofautiana kulinganana na huduma ya zao, mavuno yanaweza kuwa
kiasi cha tani 20-30 cha tangawizi mbichi huweza kupatikana.
USINDIKAJI
Tangawizi ikisindikwa utapata unga, mafuta maalum (essential oils) n.k. Tangawizi
iliyovunwa huweza kumenywa, kukatwa na kukaushwa juani au mara nyingine
huchovywa katika maji yaliyochemka kwanza na ndipo kukaushwa au
hukamuliwa mafuta. Pia
tangawizi husindikwa na kuhifadhiwa kwenye chupa zikiwa zimechanganywa
na sukari na/au chumvi. Hata hivyo tangawizi ina Kiasi cha mafuta cha
16.0-18.0%.
SOKO LA TANGAWIZI
Soko
la tangawizi lipo ndani na nje ya nchi, kiasi kikubwa kinauzwa nchini.
Bei yake ni kati ya Tsh. 4000 - 6,500/- kwa kilo (Soko Kuu Morogoro.
June, 2017). Bei hutofautiana kulingangana na masoko, ulizia soko la
karibu yako.
Bila
shaka umepata kitu kwa elimu hii nzuri kabisa ya kilimo cha tangawizi.
sasa ni wakati wako ku-share uzoefu wako na wakulima wenzako. weka
comment yako hapa chini
Subscribe to:
Posts (Atom)