Mchungaji Goodluck Mmari akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
Alisoma Neno la Mungu toka Mathayo 25:14-30 juu ya talanta zilizowekwa kwa watu ili wazizalishe
15 Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri. 16 Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. 17 Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
Alisisitiza juu ya wanachama kutumia vizuri mikopo wanayopewa. Aliwataka wasifukie talanta hizo ila wazazizalishe ili zipate faida kwa ajili ya Ustawi wa wanachama wa saccos kwa ujumla. Pia aliwataka wanachama kuwa na bidii katika kazi, wamke asubuhi na mapema wakazalishe. Apendaye sana usingizi
No comments:
Post a Comment