Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwaunganisha wakulima na wafugaji kupitia mbinu bora, za kisasa na zenye tija katika kilimo na ufugaji wa mbuzi kibiashara. Tunalenga kuongeza uzalishaji wa mbuzi na kipato, kuboresha maisha ya jamii vijijini na mijini na kuwa daraja linalowaunganisha moja kwa moja wafugaji na masoko salama, yenye faida na uhakika.
Tuesday, December 12, 2017
Wanachama wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS wakifuatilia mkutano kwa umakini Jumamosi tarehe 09.12.2017 katika viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B Masika, Mombasa Ukonga Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment