Sunday, December 31, 2017

KIPUNGUNI B LUTHERAN CHURCH SACCOS WAPANIA KULETA MAPINDUZI YA KILIMO KIDUGALO KATA YA KURUI KISARAWE


 Sezarius Kitingati,Remmy Magendo, Julius Ringo, Emmanuel Edwin Minja , mtendaji wa Kidugalo, Athuman Madenge
 Mchungaji Marko Mdumi, Huluka Amir Digosi,Genera, Mohamed Shaban Mwanga, Athuman Madenge




  Mwenyekiti wa Kidugalo Athuman Madenge pamoja na wasaidizi wake wakiwakaribisha wancahama wa SACCOS kIDUGALO kISARAWE. Wengine wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo na wengine juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.
  Mwenyekiti wa Kidugalo Athuman Madenge pamoja na wasaidizi wake wakiwakaribisha wancahama wa SACCOS kIDUGALO kISARAWE. Wengine wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo na wengine juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.
 Mwenyekiti wa Kidugalo Athuman Madenge pamoja na wasaidizi wake wakiwakaribisha wancahama wa SACCOS kIDUGALO kISARAWE. Wengine wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo na wengine juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.


 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, Mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Minja ,mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, mtendaji wa Kijiji cha Kidugalo,  Goodluck Elia Msoka, mama Rogathe Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakishauriana mambo  mbalimbali juu ya mradi wa ardhi Kisarawe.
Wajumbe wakifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe, Mzee  Vicent Francis, Sezarius Kitingati, Dominick Ngandama, Mchungaji Marko Mdumi, Kefa Yusto Mwanri, Huluka Amir Digosi Msimamizi wa Mradi /mwakilishi wa wazee Kidugalo na wajumbe wa Serikali ya Kidugalo
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Julius Gilbeth Ringo, mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo, Mama Anne Mazala, Eva Shoo, Irine Mkony, mama Rogathr Exaud Ngowo, Kisavera Matola, Nickson Ringo wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Emmanuel Edwin Minja akiwa anatoa maelezo mbalimbali ya mardi wa ardhi Kisarawe.
 Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Kipunguni B lutheran Church SACCOS Emmanuel Minja,meneja  Sezarius Kitingati na mwenyekiti wa kamati ya ardhi Kidugalo Remmy Magendo wakiteta jambo mbela ya wanachama.
 Injinia Kitundu ,Goodluck Msoka na wanachama wengine wakikagua maeneo yao huko Kidugalo Kisarawe


 Monica MPANDA AKIKAGUA ENEO LAKE HUKO kIDUGALO
 Wanacha wetu mama Evelyne Kamugisha, Rahel Mbua, Monica Mpanda wakiwa kwenye mapumziko Kidugalo
  Meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati akitoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama Kefa Yusto Mwanri ,Anne Mazalla na wengineo
 Mama Anne Mazalla akiteta jambo na meneja wa Kipunguni B SACCOS ndugu Sezarius Kitingati




MKAKATI WA KUENDELEZA MAENEO YA ARDHI 
 MZEE MWIRU
 WAWEKEZAJI WAKIWA KIDUGALO
 MSOKA AKIVINJARI KIDUGALO
 KARIBU SERIKALI YA KIJIJI CHA KIDUGALO KISARAWE
 WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO


WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO




WAJUMBE WA BODI YA SACCOS GOODLUCK MSOKA, EMMANUEL MINJA NA SERARIUS KITINGATI WAKITETA JAMBO


 Mzee Gilbert Ngandama , Goodluck Ringo na Agness Lukindo wakielekea kwenye mashamba yao
 Wajumbe wakisikiliza uongozi wa KIDUGALO kwa umakini

 Mtendaji wa Kijiji  cha Kidugalo akiwa anatoa maelekezo mbalimbali kwa wanachama wa SACCOS ya Kipunguni B ambao wamewekeza kwenye kijiji hicho.
Heri ya Mwaka mpya

Tuesday, December 12, 2017

Makamu Mwenyekiti  wa  Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Ndugu Julius  Gilbert Ringo  akiwatambulisha wageni mbalimbali pamoja na vikundi kwa wanachama wa SACCOS na wageni mbalimbali waliohudhuria kwenye  mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017 viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B
Maafisa ushirika ndugu Ladislaus Mwanansao na Irine Ngowi toka ofisi ya Ushirika Manispaa ya Ilala wakiendesha Semina juu ya SACCOS, MIKOPO ENDELEVU pamoja na HAKI NA WAJIBU WA MWANACHAMA tarehe 09.12.2017
Ndugu Ladislaus Mwanansao pamoja na Irine Ngowi toka ofisi ya Ushirika Manispaa ya Ilala wakitoa maelekezo mbalimbali
Mchungaji Goodluck Mmari wa KKKT Usharika wa Kipunguni B , Mchungaji Fredrick Humprey Minja wa KKKT usharika wa Numeut Bomangombe Moshi Kilimanjaro, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Markaz Ukonga Dar es Salaam Bi Tamasha Mohamed na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mazizini Ukonga Dar es Salaam Bwana Musa Komba  pamoja na Diwani wa Kata ya Ukonga Ndugu Zuberi Mwipopo wakifuatilia kwa umakini mkutano mkuu wa Mwaka wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS - KBLC SACCOS
Meneja wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS ndugu Saiphet William Mlacha akiwasilisha muhtasari wa mkutano mkuu wa mwaka uliopita wa tarehe 09.12.2016 kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika katika viwanja vya KKKT usharika wa Kipunguni B Jumamosi tarehe 09.12.2017
Mchungaji Goodluck Mmari akifungua mkutano mkuu wa mwaka  wa  Kipunguni B Lutheran Church SACCOS uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
















Alisoma Neno la Mungu toka Mathayo 25:14-30 juu ya talanta zilizowekwa kwa watu ili wazizalishe

15 Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri. 16 Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. 17 Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.

Alisisitiza juu ya wanachama kutumia vizuri mikopo wanayopewa. Aliwataka wasifukie talanta hizo ila wazazizalishe ili zipate faida kwa ajili ya Ustawi wa wanachama wa saccos kwa ujumla. Pia aliwataka wanachama kuwa na bidii katika kazi, wamke asubuhi na mapema wakazalishe. Apendaye sana usingizi



Makamu Mwenyekiti  wa  Kipunguni B Lutheran Church SACCOS Ndugu Julius  Gilbert Ringo  akiwakaribisha wanachama wa SACCOS kwenye  mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017 viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B
Wanachama wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS wakifuatilia mkutano kwa umakini  Jumamosi tarehe 09.12.2017 katika viwanja vya KKKT Usharika wa Kipunguni B Masika, Mombasa Ukonga Dar es Salaam
Ndugu Mkombozi Angelo Nyamya Mhasibu wa  Kipunguni B Lutheran Church SACCOS akitolea maelezo na kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanachama SACCOS juu ya Mapato na Matu mizi 2016 na Makisio 2018 katika  mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
Afisa Mikopo wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS ndugu Hance Mmbando akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanachama SACCOS juu ya Mikopo endelevu  siku ya mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kipunguni B Lutheran Church SACCOS ndugu Emmanuel Edwin Minja akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanachama SACCOS hiyo siku ya mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Jumamosi tarehe 09.12.2017
DIWANI WA KATA YA UKONGA YA MHE. ZUBERI MWIPOPO ATOA OFA YA SEMINA KWA WANACHAMA WA KBLC SACCOS

WATAFUNDISHWA JUU YA UANZISHAJI NA UENDELEZAJI WA MIRADI YANYE KULIPA VIZURI

Asema hali hii itasaidia wanachama kuwa na mafanikio mkubwa zaidi ya kiuchumi
MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KIPUNGUNI B LUTHERAN CHURCH SACCOS LTD WAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA