Benki ya maendeleo yazindua huduma mpya
Fri Jan 23 2015
Naibu waziri wa fedha MWIGULU NCHEMBA
Benki ya MAENDELEO imezindua huduma mpya ya kuweka na kutuma fedha kwa kutumia simu za mikononi inayojulikana kama MB MOBILE ili kutoa fursa kwa watanzania wengi kushiriki katika huduma za kifedha.
Akizindua huduma hiyo Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema MB Mobile inapunguza gharama za uanzishwaji wa matawi na usambazaji wa huduma za kibenki katika maeneo mengi nchini.
Awali mkurugenzi mtendaji wa BENKI ya MAENDELEO IBRAHIM MWANGALABA amesema benki hiyo imetoa mikopo yenye jumla ya shilingi bilioni kumi tangu kuanzishwa kwake mwaka mmoja uliopita na miongoni mwa waliofaidika ni wanawake wajasirimali.

No comments:
Post a Comment