Wadau wa habari, Mathew Kwembe, Afisa Habari Mwandamizi TAMISEMI (kushoto), Emanuel Minja Afisa Masoko Mwandamizi wa TBC (katikati) na Joshua Joel Mwakilishi wa ITV mkoani Rukwa walipokutana Viwanja vya Nelson Mandela Sumbawanga kwa kazi Maalumu
Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwaunganisha wakulima na wafugaji kupitia mbinu bora, za kisasa na zenye tija katika kilimo na ufugaji wa mbuzi kibiashara. Tunalenga kuongeza uzalishaji wa mbuzi na kipato, kuboresha maisha ya jamii vijijini na mijini na kuwa daraja linalowaunganisha moja kwa moja wafugaji na masoko salama, yenye faida na uhakika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment