Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za mwaka mpya wa
2015 kwa wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla na kuwatakia
mwaka wenye Amani na Utulivu pia mafanikio makubwa ikiwemo ya Uchumi wa
Taifa letu,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment