UB 2
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya kulizindua Shina la Wakereketwa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) la Wajasiliamali wa Kuuza Korosho,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 24, 2014.Kulia kwake ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete.Picha na Othman Michuzi.
UB 4
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwapungua mkono wananchi na wapenzi wa CCM katika Kata ya Ubena Zomozi,leo Machi 24, 2014.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana.Picha na Othman Michuzi.
UB 5
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa amemuinua mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete ikiwa ni ishara ya kumnadi kwa wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi.
UB 6
UB 7
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena Zomozi huku akishangilia kwa shangwe Machi 24,2014.Picha na Othman Michuzi.