Ridhiwani Kikwete na Mbio za kusaka Ubunge wa Jimbo la Chalinze
Meneja
wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa
ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani
Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika
kijiji cha Matipwili,Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani
Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Matipwili,Saadani
Wilayani Bagamoyo,wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni zake ulioanza
rasmi jana Machi 14,2014.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani
Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Baada
ya kumaliza Mkutano na Wananchi wa Kijiji cha Matipwili,Mgombea Ubunge
katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete
alifika katika Kijiji cha Gongo ndani ya Tarafa ya Saadani na kukutana
na wananchi wa Kijiji hicho na kuzungumza nao kama aonekanavyo pichani.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ndg. Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwahutubia wanakijiji wakazi wa Kijiji cha Mkange,Saadani
Wilayani Bagamoyo waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza huku wengi
wakiahidi kumpa kura zao pindi itakapofika siku ya Uchaguzi huo mdogo wa
Jimbo hilo.
Diwani
wa Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze,Said Zikatimu
akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Gongo,huku akiwataka kutofanya ajizi
pindi itakapofika siku ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,hivyo
kura zao zote wampigie Mgombea wa CCM ambaye ni Ndg. Ridhiwani Jakaya
Kikwete.
Diwani wa Kata ya Mkange,Ndg. Abdallah Mwendali nae hakuwa nyuma katika kuwasisitiza wananchi wa Jimbo la Chalinze.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete
akinong'onezwa jambo na Mmoja wa kinamama wa Kijiji cha Matipwili (Jina
lake halikuweza fahamika mara moja).
"Ni furaha tupu" Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahia jambo na wanakijiji wa Matipwili.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani
Jakaya Kikwete akisalimiana na Wanakijiji cha Mkange,wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Mkutano.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani
Jakaya Kikwete akisalimiana na Sheikh wa Kijiji cha Mkange.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani
Jakaya Kikwete akisalimiana na rafiki yake wa kitambo.
Mwenyekiti
wa Kampeni katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Saleh
Mpwimbwi akimmwagia sifa kede kede Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo
wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete .
No comments:
Post a Comment