Bunge Maalum la Katiba lashindwa kuendelea na kikao chake Jioni ya leo kwa kile kinachodaiwa na wajumbe kuwa ni ukiukwaji wa kanuni, 26 March 2014
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Anne
Kilango Malechela(kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara
baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Kajubi Mwakajanga (kushoto) na Yusuph Omar
Chunda(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya
kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Paul Makonda(kulia),Anne Makinda(wa pili
kulia),Yusuph Singo(wa pili kushoto) na Kingunge Ngombale
Mwiru(kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya
kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Kingunge Ngomabale Mwiru (kushoto) na
Dkt.Emmanuel John Makaidi(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma
mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kushoto) na
Freeman Mbowe(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati
wakielekea katika kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambao pia ni wanachama wa UKAWA
wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika kikao
cha Bunge hilo.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akibadilishana mawazo leo mjini
Dodoma na waandishi wa habari kabla ya kikao cha Bunge hilo.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akitoka nje ya Ukumbi wa Bunge
mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akitoa ufafanuzi kuhusu
masuala mbalimbali leo mjini Dodoma kabla ya kuharishwa kwa kikao cha
Bunge hilo.(Picha na Tiganya Vincent, Dodoma).
No comments:
Post a Comment